Foffana
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 3,240
- 5,625
Kocha wa Yanga anazingua sana pamoja na Mawinga wake Zakuoani na Kangwanda
Hao Mawinga ni talented sana ila sometimes vichwani mwao sijui huwa wanawaza nini
Winga hatari zote duniani kwa sasa na mawinga wenye akili wote kwa sasa wanacheza kama Inverted wingers washatoka kwenye traditional wingers
Kuwa Inverted Winger kuna faida kama zifuatazo
Kupiga mishuti ya mbali kwenda far post, anaweza kucut inside na kuassist au kucurve
Wakicheza kama Traditional wingers wanakuwa hawana jambo zaidi ya kupiga mikrosi tu, Kocha haoni hata kwa winga za makolo? Haoni kama mawinga wake hawaenjoy hizo nafasi?
Hawaoni kina Salaah,Yamal,olise,Estevao,Vinicius Junior, Mbappe
Winga anayetumia mguu wa kushoto aende upande wa kulia na anayetumia mguu wa kulia aende upande wa kushoto winga za Yanga ziache kucheza kizamani