Kocha wa Yanga akiendelea kutumia mawinga wake hivi msimu huu hatoboi

Kwani Kangwanda alifunga goli akiwa wapi mechi ya Simba. Mechi na Namungo Hussein aligongesha mwamba akiwa wapi? Angalia vizuri mechi za Yanga.
Mechi ya Simba Kangwanda alifunga goli la kichwa sio mguu wake, Hussein ile ya kugongesha mwamba angalia vizuri ule mpira ulikuwa too weak bahati tu aliuelekezea mbali sana na pia aliupiga kwa kutumia mguu wake dhaifu wa kushoto huku akijiset sana, pale angekuwa mtu anayetumia mguu wa kushoto angecurve vizuri sana

Naomba uangalie tukio la goli la 2 alilofunga Maxi Nzengeli Kangwanda akitokea na mpira akiwa upande wa kushoto alionekana akidrible kwa shida sana kuingia ndani huku akijigonga gonga miguuni bahati tu yule beki alivyookoa ukamkuta Maxi na kupiga shuti
 
Waige kwa Gueye
Naam waige kwa Libasse na Oura na ni dunia nzima wanacheza hvyo labda tu itokee mwenye mguu huo hayupo au kiwango chake kidogo

Yaani nashangaa kweli wachezaji wetu wa siku hizi hata mpira hawana muda wa kuangalia

Kuna mchezaji mmoja yeye alidai kuwa sio mpenzi kabisa wa kuangalia mechi za ulaya na hata hapa bongo bali anapenda sana kulala
 
Nyie mashabiki acheni ujuaji aisee!!.
Nyie si ndo mlisema Shalulile hana kitu lakini cha kushangaza ana goli kila mechi aliyocheza.!
Embu tulieni kocha afanye kazi yake aisee..!
 
Mpira mchezo wa wazi Mkuu

Kama kuna jambo tunaona linaenda tofauti lazima tulikosoe hapa hamna cha ujuaji mkuu

Team yetu ni bado sana na huyu kocha ndiyo anaichelewesha kwa upangaji wake mbovu wa timu, ukimsikiliza kwenye press unaweza Dhani ni bonge la kocha kumbe hamna kitu

We ameona wapi siku hizi teams zinatumia traditional wingers, hivi pia haoni winga zake zinavyopata tabu?

Kangwanda akiwa Zambia alikuwa anacheza kama Inverted Winger amekuja huku kocha anamchezesha traditional winger ili apige krosi sana 😃
 
Kwahiyo kocha hayajui hayo unayosema?
Kwamba kocha hapendi mafanikio ya yanga ndio maana anapanga timu hovyo?
 
Inawezekana ikawa ndo falsafa yake so haoni tatizo katika hilo kwa sababu anapata matokeo

Hata Roman Folz kila baada ya match alikuwa akiwasifu wachezaji wake kwa mechi nzuri mwishowe akaishia kutimuliwa bila kufungwa hata game moja
 
Kocha wa Yanga anazingua sana pamoja na Mawinga wake Zakuoani na Kangwanda

Hao Mawinga ni talented sana ila sometimes vichwani mwao sijui huwa wanawaza nini

Winga hatari zote duniani kwa sasa na mawinga wenye akili wote kwa sasa wanacheza kama Inverted wingers washatoka kwenye traditional wingers

Kuwa Inverted Winger kuna faida kama zifuatazo

Kupiga mishuti ya mbali kwenda far post, anaweza kucut inside na kuassist au kucurve

Wakicheza kama Traditional wingers wanakuwa hawana jambo zaidi ya kupiga mikrosi tu, Kocha haoni hata kwa winga za makolo? Haoni kama mawinga wake hawaenjoy hizo nafasi?

Hawaoni kina Salaah,Yamal,olise,Estevao,Vinicius Junior, Mbappe

Winga anayetumia mguu wa kushoto aende upande wa kulia na anayetumia mguu wa kulia aende upande wa kushoto winga za Yanga ziache kucheza kizamani
Leo nimekuelewa mkuu
 
Kocha kosa la kwanza ambalo huwa analifanya ni kuendelea kutumia traditional wingers

Jana game ya Arsenal, Arteta alimpanga Noni Madueke kama Traditional winger baada ya Tzolis kutokuwepo wote tumeona the way anavyostruggle na kupelekea team nzima kupoteana na yeye kupoteza mipira mingi sana

Kangwanda huko alipotoka alikuwa anacheza kama Inverted Winger mpaka tukavutiwa nae tukamsajili huku kwetu kajibadilisha nafasi

Licha ya Zakuoani kuwa average player lakini naona akicheza namba 11 anakuwa wa na hatari kidogo kwa sababu anakuwa na options nyingi sana akiwa na mpira

Hivi hawaoni Oura na Libasse wanavyocheza? Lini kaona Libasse kaenda kucheza namba 11 na Oura akaenda kucheza namba 7

Nilimsikia kocha akidai kuwa anapanga vile kwa lengo la wings zake zipige sana krosi ili Mastriker waweze kufunga 😃😃😃 dahh
 
Kocha wa Yanga anazingua sana pamoja na Mawinga wake Zakuoani na Kangwanda

Hao Mawinga ni talented sana ila sometimes vichwani mwao sijui huwa wanawaza nini

Winga hatari zote duniani kwa sasa na mawinga wenye akili wote kwa sasa wanacheza kama Inverted wingers washatoka kwenye traditional wingers

Kuwa Inverted Winger kuna faida kama zifuatazo

Kupiga mishuti ya mbali kwenda far post, anaweza kucut inside na kuassist au kucurve

Wakicheza kama Traditional wingers wanakuwa hawana jambo zaidi ya kupiga mikrosi tu, Kocha haoni hata kwa winga za makolo? Haoni kama mawinga wake hawaenjoy hizo nafasi?

Hawaoni kina Salaah,Yamal,olise,Estevao,Vinicius Junior, Mbappe

Winga anayetumia mguu wa kushoto aende upande wa kulia na anayetumia mguu wa kulia aende upande wa kushoto winga za Yanga ziache kucheza kizamani
Kocha ana mawinga gani wa maana pale kiasi cha kumlaumu!
Waulize viongozi wako kama kuna winga waliyemsajili msimu huu anayefikia hata robo ya pacome!
 
Kocha ana mawinga gani wa maana pale kiasi cha kumlaumu kocha!
Waulize viongozi wako kama kuna winga waliyemsajili msimu huu anayefikia hata robo ya pacome!
Mawinga wetu wote wa kawaida tu na anawapa mzigo zaidi kwa namna anavyowachezesha

Sikatai Mkuu hakuna winga anayemfikia Professor hata robo tu Zakuoani hana utofauti na kina Edmund John hata yule dogo Mwijage hamgusi Kangwanda naye kwa sababu tu tayari yuko matured lakini naye kwa yule Chuga akijikaza na akiacha utoto anamuweka benchi vizuri tu
 
Jana mtani ameupiga mwingi sana. Kocha ana Cha kujifunza naona sio mzuri kwenye kupanga kikosi na kufanya sub
 
Kocha kosa la kwanza ambalo huwa analifanya ni kuendelea kutumia traditional wingers

Jana game ya Arsenal, Arteta alimpanga Noni Madueke kama Traditional winger baada ya Tzolis kutokuwepo wote tumeona the way anavyostruggle na kupelekea team nzima kupoteana na yeye kupoteza mipira mingi sana

Kangwanda huko alipotoka alikuwa anacheza kama Inverted Winger mpaka tukavutiwa nae tukamsajili huku kwetu kajibadilisha nafasi

Licha ya Zakuoani kuwa average player lakini naona akicheza namba 11 anakuwa wa na hatari kidogo kwa sababu anakuwa na options nyingi sana akiwa na mpira

Hivi hawaoni Oura na Libasse wanavyocheza? Lini kaona Libasse kaenda kucheza namba 11 na Oura akaenda kucheza namba 7

Nilimsikia kocha akidai kuwa anapanga vile kwa lengo la wings zake zipige sana krosi ili Mastriker waweze kufunga 😃😃😃
mm naona tumlaumu kwanza injinia anayeleta hawa watu siku hizi mimi decisions zake sizielewi imagine kutoka kuwa na Pacome, Depu na Okello mpk kuwa na Sele, chuga, Toure na Zakwani na anawaaminisha wana yanga kuwa huko CAF wanaenda kufanya balaa. 😂
 
😂😂😂😂 mnanipa rahaa hatariiii.
 
Back
Top Bottom