Nikusaidie ili usiendelee kupotisha watu. Zakouan ni left footer na alikuwa anatokea kulia, Kangwanda anacheza miguu yote angalia Kona zote alizopiga zipo alizopiga Kwa mguu wa kulia zipo za mguu wa kushoto na alikuwa anatokea kushoto.Kocha wa Yanga anazingua sana pamoja na Mawinga wake Zakuoani na Kangwanda
Hao Mawinga ni talented sana ila sometimes vichwani mwao sijui huwa wanawaza nini
Winga hatari zote duniani kwa sasa na mawinga wenye akili wote kwa sasa wanacheza kama Inverted wingers washatoka kwenye traditional wingers
Kuwa Inverted Winger kuna faida kama zifuatazo
Kupiga mishuti ya mbali kwenda far post, anaweza kucut inside na kuassist au kucurve
Wakicheza kama Traditional wingers wanakuwa hawana jambo zaidi ya kupiga mikrosi tu, Kocha haoni hata kwa winga za makolo? Haoni kama mawinga wake hawaenjoy hizo nafasi?
Hawaoni kina Salaah,Yamal,olise,Estevao,Vinicius Junior, Mbappe
Winga anayetumia mguu wa kushoto aende upande wa kulia na anayetumia mguu wa kulia aende upande wa kushoto winga za Yanga ziache kucheza kizamani
Wewe unafundisha team gani?Yanga wanao mafullback wenye uwezo wa kucheza kama overlapping fullback
Hussein sio left footed Mkuu, hili halihitaji hata tubishane na Kangwanda ni mtumiaji mzuri sana wa mguu wa kushoto na ndio mguu wake akiwa uwanjaniNikusaidie ili usiendelee kupotisha watu. Zakouan ni left footer na alikuwa anatokea kulia, Kangwanda anacheza miguu yote angalia Kona zote alizopiga zipo alizopiga Kwa mguu wa kulia zipo za mguu wa kushoto na alikuwa anatokea kushoto.
Nipo mkuu. Tunaendelea na migogoro yetu hapa msimbazi.Braza Ponjoro upo?, long time no see
Huyo jamaa Yanga wamesajiri aisee anajua boli.Nikusaidie ili usiendelee kupotisha watu. Zakouan ni left footer na alikuwa anatokea kulia, Kangwanda anacheza miguu yote angalia Kona zote alizopiga zipo alizopiga Kwa mguu wa kulia zipo za mguu wa kushoto na alikuwa anatokea kushoto.
Mpelekeeni ujumbe huyo coachKocha ameendelea kutumia winga zake vile vile, leo tumeshuhudia vituko tu πππππ
Huo ndiyo uzalendo! Asante sanaTushampa maoni yetu Engineer leo
Fullback hawasaidii ni majukumu yao ya kazi ninyi ndio mna mpira wa kizamani winger anakabwa anaacha mpira kwa kugusa ili beki atoe krosi kama wakina Cucurela na beki zingine zote za kupanda...Eeh buda hii ni ngoma kweli, mawinga hao wana kipaji ila vichwani ni shida. Hii inverted winger story ni kweli, bila fullback kusaidia wanakwama tu. Yanga wataendelea kusumbuka hivi.
Yanga mfumo wao wanatumia traditional wingers ni mfumo wa kizamani dunia nzima washatoka hukoFullback hawasaidii ni majukumu yao ya kazi ninyi ndio mna mpira wa kizamani winger anakabwa anaacha mpira kwa kugusa ili beki atoe krosi kama wakina Cucurela na beki zingine zote za kupanda...
Kuna gemu ngumu winger hawawezi kutembea huyo 9 mwenyewe utamuona sehemu ya kibendera akipokea pasi mnaleta mpira wa kukariri wakati kila kukicha mifumo inabadilika..