Kocha wa Yanga asema ligi ya Tanzania ni dhaifu ndio maana Yanga wametolewa

Mwisho wetu robo fainali
 
Sead,(Said)Ramovic kocha wa Yanga anazidi kututibua mashabiki wView attachment 3206228


kuna Kipindi nilishasema kuhusu ligi ya Alrgeria
 
CV yake siyo level ya Yanga,bora Gambondi angebaki.Al-hilal hawa kucheza ligi misimu miwil,sasa wanacheza mauritian lakini wame fameyana vizuri.CV yake ni ya kawaida sana,uongozi uliingia cha kike na mashabiki wakajaa na propaganda za gusa twenda kwao xiewwww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…