ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Mwisho wetu robo fainaliHii ishu niliona siku moja wanaiongelea watu wa Africa Kusini. Hasa baada ya Nabi kufanya vizuri akiwa Yanga wakati sehemu zingine akiwa amefeli na kuonekana kufeli Kaizer Chiefs, wakatoka kwa Nabi wakaja kwa kocha Fadlu ambaye anaonekana kwenye ligi anaongoza ligi wakati hakuwahi kufanya vizuri popote pale na wakamalizia na kocha Saed