Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Huyu kocha kuanzia aje hajaongeza chochote kwenye kikosi cha Yanga. Ni kama wachezaji walijichezea tu kama walivyoona inafaa.Baada kipigo kutoka kwa Al Hilal (2-0) kocha wa yanga anasema “Wachezaji wangu hawana fitness ya kucheza dakika 90”
— Kocha Sead Ramovic
Si ajichunge ni reality, wachezaji hawana fitness means kuna kitu wanakosa or aanze kufanya massive rotationHiyo excuses haikuweza kumfanya Gamondi abaki.
Ajichunge kwenye mechi mbili zijazo
Watu hawatajali kauli yake tena
Kwa nini hawakutoa timu uwanjani baada ya kipindi cha kwanza?Baada kipigo kutoka kwa Al Hilal (2-0) kocha wa yanga anasema “Wachezaji wangu hawana fitness ya kucheza dakika 90”
— Kocha Sead Ramovic
Awachome sindano aache kulalamika.Baada kipigo kutoka kwa Al Hilal (2-0) kocha wa yanga anasema “Wachezaji wangu hawana fitness ya kucheza dakika 90”
— Kocha Sead Ramovic
Ni sahihi. Walicheza kama gombania goli tulilokuwa tunacheza zamani.Huyu kocha kuanzia aje hajaongeza chochote kwenye kikosi cha Yanga. Ni kama wachezaji walijichezea tu kama walivyoona inafaa.
Hakuchoma booster ya sindano?Baada kipigo kutoka kwa Al Hilal (2-0) kocha wa yanga anasema “Wachezaji wangu hawana fitness ya kucheza dakika 90”
— Kocha Sead Ramovic
Soma Pia: FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |
Na mimi ndipo naposhangaa. Yanga ilikuwa inakuja na moto mkali kipindi cha pili, sasa iweje ghafla wameanza kuonekana wachovu kipindi cha pili kulinganisha na cha kwanza?Wazee wa pumzi kipindi cha pili sa hizi hawana fitness, mbona ghafla sana?
Mbona mpira tumeangalia wote,yanga ndio waliomiliki mpira zaidi na wameongoza kwa kukukosa magoli mengi,Al hilal muda mwingi walikuwa wako golini kwao maana walikuwa wanashambuliwa sana ,alikuwa ana anazungumzia fitness gani tena? Ya mguu wa tatu?😀Baada kipigo kutoka kwa Al Hilal (2-0) kocha wa yanga anasema “Wachezaji wangu hawana fitness ya kucheza dakika 90”
— Kocha Sead Ramovic
Soma Pia: FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |