Kocha wa Yanga: Wachezaji wangu hawana fitness ya kucheza dakika 90

Kocha wa Yanga: Wachezaji wangu hawana fitness ya kucheza dakika 90

Mbona mpira tumeangalia wote,yanga ndio waliomiliki mpira zaidi na wameongoza kwa kukukosa magoli mengi,Al hilal muda mwingi walikuwa wako golini kwao maana walikuwa wanashambuliwa sana ,alikuwa ana anazungumzia fitness gani tena? Ya mguu wa tatu?😀
Huyu kocha kama ndiyo kauli yake hiyo hafiki mbali!
 
Yanga imebadilika sana na si kwa uzuri. Si Aziz Ki wana Pacome wote kwishnehi. Timu inabebwa na Maxi tu.

Kutocheza mechi za mashindano pia ni tatizo. Tabia waliyozoea ya kukimbia mechi inawacost. Juzi kina Fernandez, Ahoua na Ngoma walikuwa off kwa kutocheza kwa muda mechi ya mashindano, hawa wenzetu wakabaki wamejifungia wakitegemea maajabu. Nina uhakika wangecheza mechi ya ligi siku 3/4 zilizopita, leo wangekuwa bora zaidi.
 
Mtu na akili zake timamu uwezo wake wa vetting umeishia kwa kocha anae shikilia mkia ..
Kocha huyu kaletwa apambane na Fadlu. Kosa waliofanya kuwasajili Chama na Baleke ili kuikomoa Simba wamefanya tena Kwa kocha. Tunasubiri supu kesho Jangwani😄😄
 
Kabisa mkuu,ametuona hatujui mpira.
Wewe muda wote uko na mpira wanzako wamepata shot 2 tu on targets wamefunga zote,wewe shot 5 umekosa zote unazungumzia fitness .wonder shall never end.
Mwache atapetape kama hajatupiwa virago! Ajue sasa Uchebe hana timu shauri yake!
 
Wachezaji wanapuliza shisha kwenye maclub ya usiku unategemea pumzi wanatoa wapi
Mbona wamekimbiza dakika zote jamani! Sema walikuwa hawana bahati ya kufunga tu! Makosa ya mchezaji mmoja mmoja hayakwepeki! Bacca overconfidence imemponza! Ule mpira alikuwa na nafasi ya kuupiga nje akajidai kulizuia! Kibabage ndiye alikuwa anakatika!
 
Back
Top Bottom