Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Tangu lini wanufaika wa TASAF wakawa na fitness
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi tufanye wana fitness ya kucheza dakika 45, kwenye hizo 45 walifunga magoli mangapi?Baada kipigo kutoka kwa Al Hilal (2-0) kocha wa yanga anasema “Wachezaji wangu hawana fitness ya kucheza dakika 90”
— Kocha Sead Ramovic
Soma Pia: FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |
Huyu Mbosnia miyeyusho sanaBaada kipigo kutoka kwa Al Hilal (2-0) kocha wa yanga anasema “Wachezaji wangu hawana fitness ya kucheza dakika 90”
— Kocha Sead Ramovic
Soma Pia: FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |
Dube hamna kitu, pia ilikuwa haina haja ya kumuacha aendelee kwa muda mrefuHuyu kocha kuanzia aje hajaongeza chochote kwenye kikosi cha Yanga. Ni kama wachezaji walijichezea tu kama walivyoona inafaa.
Unajua selewi ile pace ya yanga ipo wap??naweza sem kuna kitu awa jama walikuwa wanatumia second half.yaan ile siku gme ya simb 2nd half ile pace???siamin aiseNyuma mwiko leo wamekuwa wapole sana
Wezee fcUnajua selewi ile pace ya yanga ipo wap??naweza sem kuna kitu awa jama walikuwa wanatumia second half.yaan ile siku gme ya simb 2nd half ile pace???siamin aise