Kocha wa Yanga: Wachezaji wangu hawana fitness ya kucheza dakika 90

Kocha wa Yanga: Wachezaji wangu hawana fitness ya kucheza dakika 90

Mbona mpira tumeangalia wote,yanga ndio waliomiliki mpira zaidi na wameongoza kwa kukukosa magoli mengi,Al hilal muda mwingi walikuwa wako golini kwao maana walikuwa wanashambuliwa sana ,alikuwa ana anazungumzia fitness gani tena? Ya mguu wa tatu?😀
Fitness anayoizungumzia ni pale Dube anapopata nafasi muhimu anaanguka mwenyewe,kwenye build up ya goli la kwanza Aziz Ki anapigwa chenga ya mwili na kuanguka mwenyewe,pia mchezaji aliye fit kuliko wote (Baka) anaanguka mwenyewe baada ya kukosa balance na kuanguka mwenyewe baada ya kuzidiwa kasi na maarifa na Adama Coulibaly,Goli la pili Mudathir alikuwa nyuma lakini alizidiwa mbio na mfungaji aliyekimbia kutoka katikati ya uwanja na kufunga bila bughudha yoyote.Wewe hukuona haya yote?
 
Plumber at his best🚮🚮
Viongozi wakubali tu wamekosea, waongee na wachezaji wacheze mfumo waliouzoea, huyu kocha punga sana, huwezi ingia kwenye timu mpya katikati ya msim utake kubadilisha mfumo ghafla, huwezifanikiwa kamwe! Subiri mwisho wa msimu kwenye preseason ndiyo uweke tactics zako🚮🚮
 
Huyu kocha kuanzia aje hajaongeza chochote kwenye kikosi cha Yanga. Ni kama wachezaji walijichezea tu kama walivyoona inafaa.
Nyie ndio mashabiki wapuuzi wapuuzi tulionao nchi hii Mpira amjui ni Bora muwe mnakaa kimya kujiaibisha tu,, nani kakwambia Mpira ni kama ugali unapika na unaiva hapo hapo? Kocha ulitaka aongeze nini ata wiki ajamaliza? Kocha ndio apandishe fitness ya wachezaji ndani ya siku 6 kwa kutokucheza mechi yoyote ndani ya siku 20? Au kocha ndio akafunge magoli kule mbele? Mpira ni mambo ya kiufundi na mbinu ambayo uwezi kuyaingiza kwa haraka ivyo unavyodhani kwa kocha mpya!
 
Wazee wa pumzi kipindi cha pili sa hizi hawana fitness, mbona ghafla sana?
Amjui kocha anaongelea fitness ya aina Gani msiwe mnakurupuka,,siku zote timu ikifungwa maneno yanakuwa mengi Kila mtu na lake,,fitness anayoongelea kocha ni kutokupata game time ndani ya siku 20,, timu imekaa bila kucheza mechi ya kiushindani kwa siku 20 ivyo wachezaji wamekuwa wazito na miili aijafunguka ndio maana uliona kipindi cha kwanza walikuwa taratibu sana kwenye kushambulia, Angalau kipindi cha pili wakianza kurudi kidogo kidogo lakini bado awakuwa Bora,,wakipata mechi 3 mpaka 4 watarudi kwenye ubora wao!
 
Na mimi ndipo naposhangaa. Yanga ilikuwa inakuja na moto mkali kipindi cha pili, sasa iweje ghafla wameanza kuonekana wachovu kipindi cha pili kulinganisha na cha kwanza?
Hapo ukiwa na D Mbili unaelewa sababu nini.
 
Mbona mpira tumeangalia wote,yanga ndio waliomiliki mpira zaidi na wameongoza kwa kukukosa magoli mengi,Al hilal muda mwingi walikuwa wako golini kwao maana walikuwa wanashambuliwa sana ,alikuwa ana anazungumzia fitness gani tena? Ya mguu wa tatu?😀
Uliona yanga wakiwa sawa kwenye Kasi yao ya kushambulia? Kipindi cha kwanza uliona wanafika kwenye matukio muhimu kwa Kasi? Fitness anayozungumzia kocha uwezi kuijua kama ujui Mpira,,yanga tunayoijua uwa inayo kasi yake kuanzia first half, wanapoteza Mpira wanautafuta kwa Kasi Ile Ile, watakushambulia kwa kasi kuanzia kwenye eneo lako wanapopora Mpira sasa icho kitu ndicho kocha anazungumzia akikuwepo na iyo ni kutokana na kukosa mechi ya kimashindano kwa muda mrefu wamekaa siku 20 bila kucheza unategemea nini?
 
tunategemea syringes
 
Amjui kocha anaongelea fitness ya aina Gani msiwe mnakurupuka,,siku zote timu ikifungwa maneno yanakuwa mengi Kila mtu na lake,,fitness anayoongelea kocha ni kutokupata game time ndani ya siku 20,, timu imekaa bila kucheza mechi ya kiushindani kwa siku 20 ivyo wachezaji wamekuwa wazito na miili aijafunguka ndio maana uliona kipindi cha kwanza walikuwa taratibu sana kwenye kushambulia, Angalau kipindi cha pili wakianza kurudi kidogo kidogo lakini bado awakuwa Bora,,wakipata mechi 3 mpaka 4 watarudi kwenye ubora wao!
Mlivyofungwa na Azam na Tabora mlilalamika kucheza mechi mfululizo
 
Mlivyofungwa na Azam na Tabora mlilalamika kucheza mechi mfululizo
Ndio maana nawaambieni Mpira amuujui bali naongea na mashabiki wa Mpira sio wanaoufahamu Mpira kiufundi,,kikawaida timu yoyote Ile inapokosa game time kwa muda mrefu lazima ipate tatizo la kiufundi kwenye Kasi, fitness, na miili kuwa mizito kufanya jambo,, vitu hivi ndivyo vilivyowacost yanga jana kwa kiwango kikubwa,,unaposema tulifungwa na Tabora kwa kucheza mfululizo ilikuwa pia ni sababu kiufundi kwa kuwa unacheza mechi 4 mfululizo ndani ya siku 10 unategemea nini kwa afya ya wachezaji? Kiufundi ni risk maana utazalisha majeraha mengi sana kwa wachezaji!
 
Back
Top Bottom