Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Sijui kwanini akimaliza dak 90.Dube hamna kitu, pia ilikuwa haina haja ya kumuacha aendelee kwa muda mrefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kwanini akimaliza dak 90.Dube hamna kitu, pia ilikuwa haina haja ya kumuacha aendelee kwa muda mrefu
Fitness anayoizungumzia ni pale Dube anapopata nafasi muhimu anaanguka mwenyewe,kwenye build up ya goli la kwanza Aziz Ki anapigwa chenga ya mwili na kuanguka mwenyewe,pia mchezaji aliye fit kuliko wote (Baka) anaanguka mwenyewe baada ya kukosa balance na kuanguka mwenyewe baada ya kuzidiwa kasi na maarifa na Adama Coulibaly,Goli la pili Mudathir alikuwa nyuma lakini alizidiwa mbio na mfungaji aliyekimbia kutoka katikati ya uwanja na kufunga bila bughudha yoyote.Wewe hukuona haya yote?Mbona mpira tumeangalia wote,yanga ndio waliomiliki mpira zaidi na wameongoza kwa kukukosa magoli mengi,Al hilal muda mwingi walikuwa wako golini kwao maana walikuwa wanashambuliwa sana ,alikuwa ana anazungumzia fitness gani tena? Ya mguu wa tatu?😀
Umeongea kitaalam Sana. Wanayanga hawamuimbi Maxi lakini yeye ndiye anayeibeba Yanga.Timu inabebwa na Maxi tu.
Kwa muda gani aliokaa hapo Utopoloni mpaka aongeze chochote.....Huyu kocha kuanzia aje hajaongeza chochote kwenye kikosi cha Yanga. Ni kama wachezaji walijichezea tu kama walivyoona inafaa.
Nyie ndio mashabiki wapuuzi wapuuzi tulionao nchi hii Mpira amjui ni Bora muwe mnakaa kimya kujiaibisha tu,, nani kakwambia Mpira ni kama ugali unapika na unaiva hapo hapo? Kocha ulitaka aongeze nini ata wiki ajamaliza? Kocha ndio apandishe fitness ya wachezaji ndani ya siku 6 kwa kutokucheza mechi yoyote ndani ya siku 20? Au kocha ndio akafunge magoli kule mbele? Mpira ni mambo ya kiufundi na mbinu ambayo uwezi kuyaingiza kwa haraka ivyo unavyodhani kwa kocha mpya!Huyu kocha kuanzia aje hajaongeza chochote kwenye kikosi cha Yanga. Ni kama wachezaji walijichezea tu kama walivyoona inafaa.
45Wana ya kucheza dk ngapi wapunguziwe? 90' ni nyingi mno.
Amjui kocha anaongelea fitness ya aina Gani msiwe mnakurupuka,,siku zote timu ikifungwa maneno yanakuwa mengi Kila mtu na lake,,fitness anayoongelea kocha ni kutokupata game time ndani ya siku 20,, timu imekaa bila kucheza mechi ya kiushindani kwa siku 20 ivyo wachezaji wamekuwa wazito na miili aijafunguka ndio maana uliona kipindi cha kwanza walikuwa taratibu sana kwenye kushambulia, Angalau kipindi cha pili wakianza kurudi kidogo kidogo lakini bado awakuwa Bora,,wakipata mechi 3 mpaka 4 watarudi kwenye ubora wao!Wazee wa pumzi kipindi cha pili sa hizi hawana fitness, mbona ghafla sana?
Hapo ukiwa na D Mbili unaelewa sababu nini.Na mimi ndipo naposhangaa. Yanga ilikuwa inakuja na moto mkali kipindi cha pili, sasa iweje ghafla wameanza kuonekana wachovu kipindi cha pili kulinganisha na cha kwanza?
Uliona yanga wakiwa sawa kwenye Kasi yao ya kushambulia? Kipindi cha kwanza uliona wanafika kwenye matukio muhimu kwa Kasi? Fitness anayozungumzia kocha uwezi kuijua kama ujui Mpira,,yanga tunayoijua uwa inayo kasi yake kuanzia first half, wanapoteza Mpira wanautafuta kwa Kasi Ile Ile, watakushambulia kwa kasi kuanzia kwenye eneo lako wanapopora Mpira sasa icho kitu ndicho kocha anazungumzia akikuwepo na iyo ni kutokana na kukosa mechi ya kimashindano kwa muda mrefu wamekaa siku 20 bila kucheza unategemea nini?Mbona mpira tumeangalia wote,yanga ndio waliomiliki mpira zaidi na wameongoza kwa kukukosa magoli mengi,Al hilal muda mwingi walikuwa wako golini kwao maana walikuwa wanashambuliwa sana ,alikuwa ana anazungumzia fitness gani tena? Ya mguu wa tatu?😀
uongozi wa yanga waache uchoyo wampe siri ya mafanikio mgeni kwamba walikuwa wanatumia booster dakika 120Baada kipigo kutoka kwa Al Hilal (2-0) kocha wa yanga anasema “Wachezaji wangu hawana fitness ya kucheza dakika 90”
— Kocha Sead Ramovic
Soma Pia: FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |
tunategemea syringesUliona yanga wakiwa sawa kwenye Kasi yao ya kushambulia? Kipindi cha kwanza uliona wanafika kwenye matukio muhimu kwa Kasi? Fitness anayozungumzia kocha uwezi kuijua kama ujui Mpira,,yanga tunayoijua uwa inayo kasi yake kuanzia first half, wanapoteza Mpira wanautafuta kwa Kasi Ile Ile, watakushambulia kwa kasi kuanzia kwenye eneo lako wanapopora Mpira sasa icho kitu ndicho kocha anazungumzia akikuwepo na iyo ni kutokana na kukosa mechi ya kimashindano kwa muda mrefu wamekaa siku 20 bila kucheza unategemea nini?
Unaweza kutoa ushahidi wa izo syringes pasipokuwa na shaka?tunategemea syringes
niite mahakamani ntaleta kila kitu kilikuwa kinafanyika mafichoniUnaweza kutoa ushahidi wa izo syringes pasipokuwa na shaka?
Mlivyofungwa na Azam na Tabora mlilalamika kucheza mechi mfululizoAmjui kocha anaongelea fitness ya aina Gani msiwe mnakurupuka,,siku zote timu ikifungwa maneno yanakuwa mengi Kila mtu na lake,,fitness anayoongelea kocha ni kutokupata game time ndani ya siku 20,, timu imekaa bila kucheza mechi ya kiushindani kwa siku 20 ivyo wachezaji wamekuwa wazito na miili aijafunguka ndio maana uliona kipindi cha kwanza walikuwa taratibu sana kwenye kushambulia, Angalau kipindi cha pili wakianza kurudi kidogo kidogo lakini bado awakuwa Bora,,wakipata mechi 3 mpaka 4 watarudi kwenye ubora wao!
Ndio maana nawaambieni Mpira amuujui bali naongea na mashabiki wa Mpira sio wanaoufahamu Mpira kiufundi,,kikawaida timu yoyote Ile inapokosa game time kwa muda mrefu lazima ipate tatizo la kiufundi kwenye Kasi, fitness, na miili kuwa mizito kufanya jambo,, vitu hivi ndivyo vilivyowacost yanga jana kwa kiwango kikubwa,,unaposema tulifungwa na Tabora kwa kucheza mfululizo ilikuwa pia ni sababu kiufundi kwa kuwa unacheza mechi 4 mfululizo ndani ya siku 10 unategemea nini kwa afya ya wachezaji? Kiufundi ni risk maana utazalisha majeraha mengi sana kwa wachezaji!Mlivyofungwa na Azam na Tabora mlilalamika kucheza mechi mfululizo