Kocha wa Yanga: Wachezaji wangu hawana fitness ya kucheza dakika 90

Huyu kocha kama ndiyo kauli yake hiyo hafiki mbali!
 
Yanga imebadilika sana na si kwa uzuri. Si Aziz Ki wana Pacome wote kwishnehi. Timu inabebwa na Maxi tu.

Kutocheza mechi za mashindano pia ni tatizo. Tabia waliyozoea ya kukimbia mechi inawacost. Juzi kina Fernandez, Ahoua na Ngoma walikuwa off kwa kutocheza kwa muda mechi ya mashindano, hawa wenzetu wakabaki wamejifungia wakitegemea maajabu. Nina uhakika wangecheza mechi ya ligi siku 3/4 zilizopita, leo wangekuwa bora zaidi.
 
Mtu na akili zake timamu uwezo wake wa vetting umeishia kwa kocha anae shikilia mkia ..
Kocha huyu kaletwa apambane na Fadlu. Kosa waliofanya kuwasajili Chama na Baleke ili kuikomoa Simba wamefanya tena Kwa kocha. Tunasubiri supu kesho Jangwani😄😄
 
Kabisa mkuu,ametuona hatujui mpira.
Wewe muda wote uko na mpira wanzako wamepata shot 2 tu on targets wamefunga zote,wewe shot 5 umekosa zote unazungumzia fitness .wonder shall never end.
Mwache atapetape kama hajatupiwa virago! Ajue sasa Uchebe hana timu shauri yake!
 
Wachezaji wanapuliza shisha kwenye maclub ya usiku unategemea pumzi wanatoa wapi
Mbona wamekimbiza dakika zote jamani! Sema walikuwa hawana bahati ya kufunga tu! Makosa ya mchezaji mmoja mmoja hayakwepeki! Bacca overconfidence imemponza! Ule mpira alikuwa na nafasi ya kuupiga nje akajidai kulizuia! Kibabage ndiye alikuwa anakatika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…