Barua iende Fifa.
Wakili msomi wa Yanga Bw. Patrick Simon ashughulikie hoja hii muhimu Sana.Barua iende Fifa.
Simba pia mechi yao na Pamba iliahirishwa lakini wakaomba wacheze, kama hiyo ndiyo sababu mmefungwa basi viongozi wenu hawana akili.Ndio maana nawaambieni Mpira amuujui bali naongea na mashabiki wa Mpira sio wanaoufahamu Mpira kiufundi,,kikawaida timu yoyote Ile inapokosa game time kwa muda mrefu lazima ipate tatizo la kiufundi kwenye Kasi, fitness, na miili kuwa mizito kufanya jambo,, vitu hivi ndivyo vilivyowacost yanga jana kwa kiwango kikubwa,,unaposema tulifungwa na Tabora kwa kucheza mfululizo ilikuwa pia ni sababu kiufundi kwa kuwa unacheza mechi 4 mfululizo ndani ya siku 10 unategemea nini kwa afya ya wachezaji? Kiufundi ni risk maana utazalisha majeraha mengi sana kwa wachezaji!
Unaeza uka posess mpira kwakuwa mpinzani wako mbinu yake ni kukabia chini lakini swali la kuuliza unashambulia kwa intensity ipi?Kabisa mkuu,ametuona hatujui mpira.
Wewe muda wote uko na mpira wanzako wamepata shot 2 tu on targets wamefunga zote,wewe shot 5 umekosa zote unazungumzia fitness .wonder shall never end.
HahahahaHiyo excuses haikuweza kumfanya Gamondi abaki.
Ajichunge kwenye mechi mbili zijazo
Watu hawatajali kauli yake tena
Baada kipigo kutoka kwa Al Hilal (2-0) kocha wa yanga anasema “Wachezaji wangu hawana fitness ya kucheza dakika 90”
— Kocha Sead Ramovic
Soma Pia: FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |
Unaweza kuongeza kitu kwa mchezaji kwa muda mfupi kama ule? Acheni kufuatilia mipira ya Simba vs yanga fuatilieni na duniani huko?Huyu kocha kuanzia aje hajaongeza chochote kwenye kikosi cha Yanga. Ni kama wachezaji walijichezea tu kama walivyoona inafaa.
Fitness itapatikana vipi wakati mapafu yamejaa moshi wa shisha na viunoni wana UTI za kutosha kwa kuchukua machangudoa?Baada kipigo kutoka kwa Al Hilal (2-0) kocha wa yanga anasema “Wachezaji wangu hawana fitness ya kucheza dakika 90”
— Kocha Sead Ramovic
Soma Pia: FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |
Unasemaa ?!?Wana ya kucheza dk ngapi wapunguziwe? 90' ni nyingi mno.
Wawe wanashinda kipindi cha kwanza
Yanga imebadilika sana na si kwa uzuri. Si Aziz Ki wana Pacome wote kwishnehi. Timu inabebwa na Maxi tu.
Kutocheza mechi za mashindano pia ni tatizo. Tabia waliyozoea ya kukimbia mechi inawacost. Juzi kina Fernandez, Ahoua na Ngoma walikuwa off kwa kutocheza kwa muda mechi ya mashindano, hawa wenzetu wakabaki wamejifungia wakitegemea maajabu. Nina uhakika wangecheza mechi ya ligi siku 3/4 zilizopita, leo wangekuwa bora zaidi.
Siamini kwa kipindi hiki team kubwa kama Yanga wanaweza mwachia kocha wao.Hiyo excuses haikuweza kumfanya Gamondi abaki.
Ajichunge kwenye mechi mbili zijazo
Watu hawatajali kauli yake tena