Kocha Yanga hajawahi kushinda mchezo wowote kimataifa

Kocha Yanga hajawahi kushinda mchezo wowote kimataifa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
298157317_493149036144066_1159003624942837069_n.jpg

Bonus
Kocha kabla ya kuja Yanga alikuwa Al Merrick Sudan, ambapo mechi 2 za mwisho
Simba 3-0 Merrick
Merick 0- 0 Simba

Dokezo
Hiyo Somalia ni under 20

My Take
Kukosoa huwezi labda uropoke
 
Mbon nasikia Friends Rangers iliyofungwa 9-0 kule Avic town international stadium kwenye mechi ya kirafiki ni timu kutoka Uarabuni!??? 😀
Friends Rangers ni ya Manzese 🤣🤣
 
  • Kicheko
Reactions: tyc
Huwa nashangazwa Na Wachambuzi wetu Jinsi Wanavyompamba Wakati Historia inamuhukumu alitua Yanga baada Ya Kutimuliwa El merrekh Ya Sudan.
Manara sometimes Madongo Yake huwa Na Ukweli aliposema tuna Wachambuzi Baadhi yao ni ' taka taka' .
 
Hamna kocha pale soon atafungishiwa virago
 
Wa Simba kashinda ngapi? na ziorodheshe hapa
 
Mnamo mwaka 2014 mwezi wa 3 kwenye msimu wa CAF CL akiwa na Al-Hilal mechi ya round ya kwanza alishinda 2-0 dhidi ya Stade Malien
Do not touch a button!Jamaa ameenda ku-google!😂😂😂😂
View attachment 2320580
Bonus
Kocha kabla ya kuja Yanga alikuwa Al Merrick Sudan, ambapo mechi 2 za mwisho
Simba 4-0 Merrick
Merick 0- 0 Simba

Dokezo
Hiyo Somalia ni under 20

My Take
Kukosoa huwezi labda uropoke
Kama ni kwa Yanga sawa ila AL HILAL ALISHINDA
 
Back
Top Bottom