OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #21
Tunaijadili Utopolo. By the way kumbe mara ya mwisho ni 2014 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mnamo mwaka 2014 mwezi wa 3 kwenye msimu wa CAF CL akiwa na Al-Hilal mechi ya round ya kwanza alishinda 2-0 dhidi ya Stade Malien
Kama ni kwa Yanga sawa ila AL HILAL ALISHINDA
Sasa mlimpaje uProfesa, au Profesa maji marefu