OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Friends Rangers ni ya Manzese π€£π€£Mbon nasikia Friends Rangers iliyofungwa 9-0 kule Avic town international stadium kwenye mechi ya kirafiki ni timu kutoka Uarabuni!??? π
Rekodi haziongopi[emoji1787]View attachment 2320580
Bonus
Kocha kabla ya kuja Yanga alikuwa Al Merrick Sudan, ambapo mechi 2 za mwisho
Simba 4-0 Merrick
Merick 0- 0 Simba
Dokezo
Hiyo Somalia ni under 20
My Take
Kukosoa huwezi labda uropoke
Ngoja nifungue diary ya Motsepe.Maana huwa anatembea na matokeo ya Simba kwa ufahari sana.Wa Simba kashinda ngapi? na ziorodheshe hapa
NI WIVU TU HUUView attachment 2320580
Bonus
Kocha kabla ya kuja Yanga alikuwa Al Merrick Sudan, ambapo mechi 2 za mwisho
Simba 4-0 Merrick
Merick 0- 0 Simba
Dokezo
Hiyo Somalia ni under 20
My Take
Kukosoa huwezi labda uropoke
Hata mimi namshangaa sana.Sasa,muoneshe takwimu zinazopingana na alichotuletea ili aonekane "muongo"!NI WIVU TU HUU
Hata mimi namshangaa sana.Sasa,muoneshe takwimu zinazopingana na alichotuletea ili aonekane "muongo"!
π€£π€£π€£π€£Hata mimi namshangaa sana.Sasa,muoneshe takwimu zinazopingana na alichotuletea ili aonekane "muongo"!
kumuonea wivu failure?NI WIVU TU HUU
Do not touch a button!Jamaa ameenda ku-google!πππππ€£π€£π€£π€£
Muache kocha wetu wa Treble, mechi za kimataifa zinakuja na tutashinda hii thread yako itaexpirekumuonea wivu failure?
Kuna mtu kaniambia nikuulize kama unajua kwamba:Moja ya timu zilizochangia matokeo mabovu ya Nabi kutolewa mkuku pale El Mereikh ni Simba!Muache kocha wetu wa Treble, mechi za kimataifa zinakuja na tutashinda hii thread yako itaexpire
hilo neno hajawahi litakuja kuwa KAWAHI
Do not touch a button!Jamaa ameenda ku-google!ππππ
Kama ni kwa Yanga sawa ila AL HILAL ALISHINDAView attachment 2320580
Bonus
Kocha kabla ya kuja Yanga alikuwa Al Merrick Sudan, ambapo mechi 2 za mwisho
Simba 4-0 Merrick
Merick 0- 0 Simba
Dokezo
Hiyo Somalia ni under 20
My Take
Kukosoa huwezi labda uropoke
πππππUmepata ya miaka minane nyuma?Mnamo mwaka 2014 mwezi wa 3 kwenye msimu wa CAF CL akiwa na Al-Hilal mechi ya round ya kwanza alishinda 2-0 dhidi ya Stade Malien
Kama ni kwa Yanga sawa ila AL HILAL ALISHINDA