OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
-
- #21
Tunaijadili Utopolo. By the way kumbe mara ya mwisho ni 2014 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mnamo mwaka 2014 mwezi wa 3 kwenye msimu wa CAF CL akiwa na Al-Hilal mechi ya round ya kwanza alishinda 2-0 dhidi ya Stade Malien
Kama ni kwa Yanga sawa ila AL HILAL ALISHINDA
Kuna mtu kaniambia nikuulize kama unajua kwamba:Moja ya timu zilizochangia matokeo mabovu ya Nabi kutolewa mkuku pale El Mereikh ni Simba!
Tunaijadili Utopolo. By the way kumbe mara ya mwisho ni 2014 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa mlimpaje uProfesa, au Profesa maji marefu
Amewafunga zimba, kwani si tumekubaliana kuwa zimba level Yao ni sawa na Al ahly au berkane? Au zimba sio wa kimataifa? Paka shume mkubwaView attachment 2320580
Bonus
Kocha kabla ya kuja Yanga alikuwa Al Merrick Sudan, ambapo mechi 2 za mwisho
Simba 3-0 Merrick
Merick 0- 0 Simba
Dokezo
Hiyo Somalia ni under 20
My Take
Kukosoa huwezi labda uropoke
Sawa hajawai shinda unataka je sasa?View attachment 2320580
Bonus
Kocha kabla ya kuja Yanga alikuwa Al Merrick Sudan, ambapo mechi 2 za mwisho
Simba 3-0 Merrick
Merick 0- 0 Simba
Dokezo
Hiyo Somalia ni under 20
My Take
Kukosoa huwezi labda uropoke
akiwa na Simba kacheza Misri mechi nne +mechi moja ya Simba day=jumla mechi 5.Wa Simba kashinda ngapi? na ziorodheshe hapa
Nilikuwa natoa taarifa tuSawa hajawai shinda unataka je sasa?
Professor in failureAnaitwa "profesa" Nabi.