Kocha yupi ni bora kwa sasa Duniani?

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Unajua maana ya short on target?
Short offtarget haiwezi kuwa nafasi?..ball possession ilikuaje?..kabla ya goli la pili game ilikuaje?..baada ya goli la kwanza game ilikuaje?..mbona hata watangazaji walisema score board haielezi ukweli wa game ilivyo..au ulikua kibanda umiza?
 
Kwa sasa ni pep, zidane,valverde, alegri, jup, klop, simeone

Hawez toka nje ya hawa.
 
Short offtarget haiwezi kuwa nafasi?..ball possession ilikuaje?..kabla ya goli la pili game ilikuaje?..baada ya goli la kwanza game ilikuaje?..mbona hata watangazaji walisema score board haielezi ukweli wa game ilivyo..au ulikua kibanda umiza?
Unajua maana ya short on target? Ball possession ni mipango ya kocha hiyo, kocha wa sasa wa barcelona hategemei possesion ndio maana nika kwambia inaitwa pragmatic football. Ndio plani hzo ndio maana chelsea ilichezeaa mpira but ikawa inashindwa ku create chances. We watangaxaji hao mi sku waskia au ulikuwa unaangalizia TV1 maana kuna vituo vingi vina onesha UCL .
 
Kocha bora kwa vilabu au timu za taifa?
 
Wataweza kumlipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…