Kocha yupi ni bora kwa sasa Duniani?

Kocha yupi ni bora kwa sasa Duniani?

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Unajua maana ya short on target?
Short offtarget haiwezi kuwa nafasi?..ball possession ilikuaje?..kabla ya goli la pili game ilikuaje?..baada ya goli la kwanza game ilikuaje?..mbona hata watangazaji walisema score board haielezi ukweli wa game ilivyo..au ulikua kibanda umiza?
 
Kwa sasa ni pep, zidane,valverde, alegri, jup, klop, simeone

Hawez toka nje ya hawa.
 
Short offtarget haiwezi kuwa nafasi?..ball possession ilikuaje?..kabla ya goli la pili game ilikuaje?..baada ya goli la kwanza game ilikuaje?..mbona hata watangazaji walisema score board haielezi ukweli wa game ilivyo..au ulikua kibanda umiza?
Unajua maana ya short on target? Ball possession ni mipango ya kocha hiyo, kocha wa sasa wa barcelona hategemei possesion ndio maana nika kwambia inaitwa pragmatic football. Ndio plani hzo ndio maana chelsea ilichezeaa mpira but ikawa inashindwa ku create chances. We watangaxaji hao mi sku waskia au ulikuwa unaangalizia TV1 maana kuna vituo vingi vina onesha UCL .
 
Kumekuwa na mijadala mbalimbali inayoendelea Mitandaoni kuhusu ni nani kocha bora kwa sasa Duniani. Wengi wamekuwa wakimtaja Pep Guardiola, wengine wakimtaja Zinedine Zidane, lakini pia wapo makocha wengine wenye ubora wa hali ya juu.

Je, yupi ni kocha bora kwa upande wako?
Kocha bora kwa vilabu au timu za taifa?
 
Kweli kabsa,,, pep na huyo wa barca wanabebwa na vkosi vyao pamoja na pesa wakat wa usajiri,,, mm nlitegemea watu kama Big Sam yule wa Everton,, angalia msimu huyu Everton walikuwa na hali gani lkn leo hii wapo nafasi ya ngapi,, muangalie Roy Hogdson yule wa Swansea na sasa Swansea wapo nafasi ya ngapi,,, km Pep ni kocha bora akaichukue Stoke City ilipo leo aipandshe hadi kumi bora
Wataweza kumlipa
 
Back
Top Bottom