KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,249
- 5,863
Inarejea kwA njia ya pilau na fiesta la bure October kila baada ya Miaka mitano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NimekuelewaInarejea kwA njia ya pilau na fiesta la bure October kila baada ya Miaka mitano
Yesu walimjaribu katika hili swali lako, ila kwakuwa Yesu alikuwa genius baliwajibu yaliyo ya Kaizari mpeni kaizari.Leo ninapenda kueleweshwa hili la kodi tunazo lipa.
Huduma kama vile - :
Mtanzania anapata wapi Asante ya kodi yake na Masamaki, mamisitu, mazahabu, maalmasi, maserengeti ngorongoro
- Maji tunalipia
- Umeme tunalipia
- Elimu tunalipia
- Hospitali tunalipia
- barabara tunalipia
Leo ninapenda kueleweshwa hili la kodi tunazo lipa.
Huduma kama vile - :
Mtanzania anapata wapi Asante ya kodi yake na Masamaki, mamisitu, mazahabu, maalmasi, maserengeti ngorongoro
- Maji tunalipia
- Umeme tunalipia
- Elimu tunalipia
- Hospitali tunalipia
- barabara tunalipia
New York ipihata uku new york vyote ivo tunalipa na tunalipa kodi 48% income tax meanwhile nyie mnalipa 18%
Yesu walimjaribu katika hili swali lako, ila kwakuwa Yesu alikuwa genius baliwajibu yaliyo ya Kaizari mpeni kaizari.
Usipoteze muda wako katika hili utakufa kwa presha kabla ya umri wako.
Haki iko mbinguni, hadi hawa kina Kingai na Jaji wao watapewa hukumu zao za haki.
Kwa matumizi ya HOVYO namna hii unatarajia hiyo miujiza itokee wapi ndugu yangu? CCM ni laana kwenye nchi hii.Leo ninapenda kueleweshwa hili la kodi tunazo lipa.
Huduma kama vile - :
Mtanzania anapata wapi Asante ya kodi yake na Masamaki, mamisitu, mazahabu, maalmasi, maserengeti ngorongoro
- Maji tunalipia
- Umeme tunalipia
- Elimu tunalipia
- Hospitali tunalipia
- barabara tunalipia
DuuhInarejea kwA njia ya pilau na fiesta la bure October kila baada ya Miaka mitano
Wanasahau haraka, sijui hudhani hivyo vitu huokotwa?.Unarudishiwa kofia na tshirt kipindi cha uchaguzi
New York ipi
Ni ujinga tu wala siyo kusahauWanasahau haraka, sijui hudhani hivyo vitu huokotwa?.
Nimetulia ndugMbona jibu ni simple tu hata haliumizi kichwa....
fedha inayokusanywa na serikali kutoka vyanzo tofauti kama kodi, utalii, madini ni ndogo mno ukilinganisha na miradi au matumizi ya serikali
Hapo bado ujaweka makampuni yanayopata hasara kila mwaka kama atcl, ttcl, tanesco
Juzi nilikuwa naangalia msafara wa mama yenu kule arusha....zaidi ya magari 40. Sasa unaulizaje pesa yako ya kodi inaenda wapi.
Mkuu tulia tu tunyonyolewe hamna namna
Leo ninapenda kueleweshwa hili la kodi tunazo lipa. Huduma kama vile - :Mtanzania anapata wapi Asante ya kodi yake na Masamaki, mamisitu, mazahabu, maalmasi, maserengeti ngorongoro
- Maji tunalipia
- Umeme tunalipia
- Elimu tunalipia
- Hospitali tunalipia
- barabara tunalipia
Leo ninapenda kueleweshwa hili la kodi tunazo lipa. Huduma kama vile - :Mtanzania anapata wapi Asante ya kodi yake na Masamaki, mamisitu, mazahabu, maalmasi, maserengeti ngorongoro
- Maji tunalipia
- Umeme tunalipia
- Elimu tunalipia
- Hospitali tunalipia
- barabara tunalipia
Leo ninapenda kueleweshwa hili la kodi tunazo lipa. Huduma kama vile - :Mtanzania anapata wapi Asante ya kodi yake na Masamaki, mamisitu, mazahabu, maalmasi, maserengeti ngorongoro
- Maji tunalipia
- Umeme tunalipia
- Elimu tunalipia
- Hospitali tunalipia
- barabara tunalipia
Interchange ya ajabu sana hii. 1. Kutoka kimara kwenda buguruni kuna wakati foleni inavuka ubungo maji 2.pamoja na ukubwa lakini hakuna sehemu za kupita wapita kwa miguu. 3. Kuna nafasi kubwa imezungushiwa fence na haina matumizi. 4. Yale matuta ya ubungo maji ninkwa sababu aliye jenga interchange hakuzingatia wapita kwa miguu. Imepunguza foleni ila imeongeza baadhi ya kero ambazo hazikutakiwa kuwepo kwa uwekezaji tuliofanya. Picha ni interchange moja huko kwa wanaojielewa. Angalia vizuri walivyo zingatia watumiaji wote wa hii interchange including na wapita wa miguu.. Tanroad inahitaji new brain.View attachment 1976067
Wewe ni mpumbavu Sana yaani kwenye nchi zinazoendelea au hata kwenye nchi zilizoendelea bajeti ya utawala ni kubwa kuliko ya maendeleo,na utawala ni mambo mengi ya kuhakikisha nchi ina usalama.Kwa matumizi ya HOVYO namna hii unatarajia hiyo miujiza itokee wapi ndugu yangu? CCM ni laana kwenye nchi hii.
View attachment 1983503