Kodi anayolipa Mtanzania inamrejea kwa njia ipi? Inatosha?

Kodi zetu ni kwa ajili ya Matumizi ya CCM.

Mishahara na maposho ya wabunge, mawaziri, raisi, wakurugenzi, makatibu wakuu, wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa, Polisccm, Tissccm, Jwtzccm, pesa za kampeni za CCM, mbali wanazojichotea na kuiba.
 
Wewe ni mpumbavu Sana yaani kwenye nchi zinazoendelea au hata kwenye nchi zilizoendelea bajeti ya utawala ni kubwa kuliko ya maendeleo,na utawala ni mambo mengi ya kuhakikisha nchi ina usalama.
We pu.nguani bajeti iko namna hiyo kwenye wizara zote, wanalinda kitu gani kwenye kila wizara? Pumbavu zako
 
Barabara unailipiaje?.

Road toll unahisi yatosha?

Unalipia maji sawa
Miundombinu ya maji?.wafanyakazi?

Elimu ya msingi na sekondari shule za umma inalipiwa siku hizi?.
 
Kodi zetu ni kwa ajili ya Matumizi ya CCM.

Mishahara na maposho ya wabunge, mawaziri, raisi, wakurugenzi, makatibu wakuu, wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa, Polisccm, Tissccm, Jwtzccm, pesa za kampeni za CCM, mbali wanazojichotea nm

Nimeutafuta huo wimbo na kuusikiliza nimeona Africa safari bado sana tunaitaji miaka laki
Umeona eeh mwizi wa kura yako ndiye kijumbe bado unatemea mwisho wa mchezo upate gawio utakuwa kichaa
 
We pu.nguani bajeti iko namna hiyo kwenye wizara zote, wanalinda kitu gani kwenye kila wizara? Pumbavu zako
Ndio maana nakwambia wewe ni punguani umerithi makamasi tuu kutoka waliokuzaa..

Kwa kukusaidia tuu Government in nature ni watoa huduma,,bajeti ya madawa na Vifaa tiba iko kwenye matumizi ya kawaida.

Ugharamiaji elimu msingi na Sekondari iko kwenye recurrent expenditure hivyo hivyo na kwenye wizara nyingine..

Uwe unajielimisha kabla ya kuandika upumbavu wako.
 
Ukilipa kodi, madarasa yakajengwa unaambiwa Mama katoa 12 billion.

Kila mara jambo jipya uanza Afrika.
Kwahiyo unataka tuige msemo wa Wamarekani "From the People of United States"? Sisi hatuwezi kubuni wa kwetu kama huo, " Rais Atoa"?
 
Ndio maana nakwambia wewe ni punguani umerithi makamasi tuu kutoka waliokuzaa..

Kwa kukusaidia tuu Government in nature ni watoa huduma,,bajeti ya madawa na Vifaa tiba iko kwenye matumizi ya kawaida.

Ugharamiaji elimu msingi na Sekondari iko kwenye recurrent expenditure hivyo hivyo na kwenye wizara nyingine..

Uwe unajielimisha kabla ya kuandika upumbavu wako.
Wewe matako ofisi ya waziri mkuu in ahudumiwa madawa na hizo expenditure wapi? Ofisi ya Makamu n.k
 
Ndio maana nakwambia wewe ni punguani umerithi makamasi tuu kutoka waliokuzaa..

Kwa kukusaidia tuu Government in nature ni watoa huduma,,bajeti ya madawa na Vifaa tiba iko kwenye matumizi ya kawaida.

Ugharamiaji elimu msingi na Sekondari iko kwenye recurrent expenditure hivyo hivyo na kwenye wizara nyingine..

Uwe unajielimisha kabla ya kuandika upumbavu wako.
Hizo wizara nyingine zinaeleweka shughuli zake ma.tako yako wewe. Ofisi ya waziri mkuu, makamu, rais, bunge nk zinahudumia madawa na madawati huko kijijini kwenu? Kitimoto we
 
Swali lako ni incomplete, na kwa asiye na uelewa ni swali la kichonganishi kati ya serikali na wananchi wake...

Maswali uliyopaswa kuuliza kwanza ni haya:

wananchi tunatoa kodi Tsh ngapi?
Current expenditure ni Tsh ngapi?
Capital expenditure ni Tsh ngapi?
Misaada ni Tsh ngapi kwa masharti yapi?
Mikopo ni Tsh ngapi kwa gharama kiasi gani?

Halafu ndo swali lako la kwann tunalipia huduma za maji, umeme n.k lingefuata.

Sasa majibu yoote hayo unayapata kwenye bajeti ya nchi kuanzia ngazi za vijiji ila ukiulizwa kama unafatilia utendaji wa bajeti serikali za mitaa? Nina wasi wasi hufuatilii.
 
usalama wa nchi au usalama wa CCM?
Usalama wa nchi sio wa ccm:

Silaha, mabomu, ndege za kivita, miishahara ya jeshi, technolojia za kivita n.k...... Yote haya ulinganishe na ukubwa wa nchi yetu na mipaka yake.

Usalama wa ccm hauhitaji gharama kubwa sana. Upinzani ni mwepesi na wafadhili wao wa kifedha kutoka nje hawana misuli isiyodhibitika. Labda uma uamue ndipo itakuwa hatari kwa ccm.
 
TISS, TANPOL NA JWTZ ni matawi ya CCM
 
TISS, TANPOL NA JWTZ ni matawi ya CCM
Sio kweli. Hayo ni majeshi tiifu kwa nchi iwepo au isiwepo ccm. Nchi ipo chini ya ccm kwa sasa, ni lazima watii mamlaka kinyume na hapo nchi haitaongozeka.

Upinzani ukipewa nchi hakutakuwa na majeshi mapya labda uyabadili jina ila ni majeshi yale yale. Au mtafukuza jeshi lote?
 
Wanaisaidia ccm kupanga matakeo ya uchaguzu
 
Hizo wizara nyingine zinaeleweka shughuli zake ma.tako yako wewe. Ofisi ya waziri mkuu, makamu, rais, bunge nk zinahudumia madawa na madawati huko kijijini kwenu? Kitimoto we
Matako ya mama yako,kama hujui Kazi za wizara husika acha kuropoka,,vitengo vya maafa kipo ofisi ya Waziri mkuu, masuala ya Mazingira yako ofisi ya Makamu wa Rais
 
Swali lako ni incomplete, na kwa asiye na uelewa ni swali la kichonganishi kati ya serikali na wananchi wake...

Maswali uliyopaswa kuuliza kwanza ni haya:

wananchi tunatoa kodi Tsh ngapi?
Current expenditure ni Tsh ngapi?
Capital expenditure ni Tsh ngapi?
Misaada ni Tsh ngapi kwa masharti yapi?
Mikopo ni Tsh ngapi kwa gharama kiasi gani?

Halafu ndo swali lako la kwann tunalipia huduma za maji, umeme n.k lingefuata.

Sasa majibu yoote hayo unayapata kwenye bajeti ya nchi kuanzia ngazi za vijiji ila ukiulizwa kama unafatilia utendaji wa bajeti serikali za mitaa? Nina wasi wasi hufuatilii.
Toa ufafanuzi wewe uneelewa
 
Toa ufafanuzi wewe uneelewa
Mkuu, fuatilia bajeti ya nchi kwa miaka kadhaa nyuma utaelewa sana.

Hata hivyo naweza kukubaliana na wewe kuwa matumizi ya mapato yanaweza kubanwa zaidi sana sana kwenye mishahara, posho na marupurupu ya wabunge😄. Wabunge kwanza.
 
Back
Top Bottom