Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mama yako ana masuburi ya chuma, au?Matako ya mama yako,kama hujui Kazi za wizara husika acha kuropoka,,vitengo vya maafa kipo ofisi ya Waziri mkuu, masuala ya Mazingira yako ofisi ya Makamu wa Rais
Wewe utakua ama hawa.ra au sh.oga wa huko, Tanzania ya sasa ina changamoto sanaNdio maana nakwambia wewe ni punguani umerithi makamasi tuu kutoka waliokuzaa..
Kwa kukusaidia tuu Government in nature ni watoa huduma,,bajeti ya madawa na Vifaa tiba iko kwenye matumizi ya kawaida.
Ugharamiaji elimu msingi na Sekondari iko kwenye recurrent expenditure hivyo hivyo na kwenye wizara nyingine..
Uwe unajielimisha kabla ya kuandika upumbavu wako.
Magufuli aliwajibu kitu gani wahanga wa tetemo la ardhi kule Kagera? Pumbavu zako sanaMatako ya mama yako,kama hujui Kazi za wizara husika acha kuropoka,,vitengo vya maafa kipo ofisi ya Waziri mkuu, masuala ya Mazingira yako ofisi ya Makamu wa Rais
We fala ni lini changamoto ziliisha Tzn? Peleka ushoga wako hukoWewe utakua ama hawa.ra au sh.oga wa huko, Tanzania ya sasa ina changamoto sana
Kumbe ni shoga? Itakua stress za mabwana ako, basi kwaheri..We fala ni lini changamoto ziliisha Tzn? Peleka ushoga wako huko
Ingekuwa hivyo kwamba anaelipa kodi kubwa ndio apatiwe maendeleo makubwa nchi ingekuwa vipande vipande. BTW, kwani mfanyabiashara anatoa pesa mfukoni kwake au yeye ni wakala tu wa sisi tulioko huku ikungi?Swali zuri
Nchi zingine njia mojawapo hurudisha asante moja kwa moja ni kwa kumpunguzia mlipa kodi gharamna za kusomesha mwanawe vyuo vikuu mfano bila kujali ni mtoto wa Bill gates aweza someshwa bure kama asante ya moja kwa moja kwa mlipa kodi
Tanzania walipa kodi wakubwa watoto wao ndio hupewa kipaumbele cha kunyimwa mikopo ya kusoma elimu ya chuo kikuu!!! Mlipa kodi mkubwa harudishiwi asante hata ya mkopo tu wa mwanae kusoma chuo kikuu.
Kodi zetu zinaliwa na hawa vilaza wezi wa kuraLeo ninapenda kueleweshwa hili la kodi tunazo lipa.
Huduma kama vile - :
Mtanzania anapata wapi Asante ya kodi yake na Masamaki, mamisitu, mazahabu, maalmasi, maserengeti ngorongoro
- Maji tunalipia
- Umeme tunalipia
- Elimu tunalipia
- Hospitali tunalipia
- barabara tunalipia
Atatembelewa na Mr badluckUkorofiiii huo! 😀 😀
Mkuu, afadhali kama Mtanzania angekuwa na mzigo wa kodi peke yake pengine hata tungeweza kufanya tathmini, sasa hilo zigo la madeni ya nje na ndani ndiyo balaa lingine.Leo ninapenda kueleweshwa hili la kodi tunazo lipa.
Huduma kama vile - :
Mtanzania anapata wapi Asante ya kodi yake na Masamaki, mamisitu, mazahabu, maalmasi, maserengeti ngorongoro
- Maji tunalipia
- Umeme tunalipia
- Elimu tunalipia
- Hospitali tunalipia
- barabara tunalipia
Badluck ndo naniAtatembelewa na Mr badluck
Mwanatimu ya wasiojulikana waliojulikana.Badluck ndo nani
Atatembelewa na Mr badluck