Kodi anayolipa Mtanzania inamrejea kwa njia ipi? Inatosha?

Yesu walimjaribu katika hili swali lako, ila kwakuwa Yesu alikuwa genius baliwajibu yaliyo ya Kaizari mpeni kaizari.

Usipoteze muda wako katika hili utakufa kwa presha kabla ya umri wako.

Haki iko mbinguni, hadi hawa kina Kingai na Jaji wao watapewa hukumu zao za haki.
 

Hata uku new york vyote ivo tunalipa na tunalipa kodi 48% income tax meanwhile nyie mnalipa 18%
 
Nimekuelewa
 
Kwa matumizi ya HOVYO namna hii unatarajia hiyo miujiza itokee wapi ndugu yangu? CCM ni laana kwenye nchi hii.
 
Swali fikirishi
Kodi kwa ajili ya mavieite (v8 )
 
Mbona jibu ni simple tu hata haliumizi kichwa....

fedha inayokusanywa na serikali kutoka vyanzo tofauti kama kodi, utalii, madini ni ndogo mno ukilinganisha na miradi au matumizi ya serikali

Hapo bado ujaweka makampuni yanayopata hasara kila mwaka kama atcl, ttcl, tanesco

Juzi nilikuwa naangalia msafara wa mama yenu kule arusha....zaidi ya magari 40. Sasa unaulizaje pesa yako ya kodi inaenda wapi.

Mkuu tulia tu tunyonyolewe hamna namna
 
Nimetulia ndug
 
Barabara nzuri unazotumia umechangia ngapi? Mishahara ya serikali, wewe SEMA tu kodi yako inatumika vizuri?
 
 
Kwa matumizi ya HOVYO namna hii unatarajia hiyo miujiza itokee wapi ndugu yangu? CCM ni laana kwenye nchi hii.
View attachment 1983503
Wewe ni mpumbavu Sana yaani kwenye nchi zinazoendelea au hata kwenye nchi zilizoendelea bajeti ya utawala ni kubwa kuliko ya maendeleo,na utawala ni mambo mengi ya kuhakikisha nchi ina usalama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…