Kodi anayolipa Mtanzania inamrejea kwa njia ipi? Inatosha?

Wewe m.buzi unapakatwa? Kuna maafa gani ya kila mwaka kiti.moto wewe? Wale wahanga wa tetemeko ofisi ya waziri mkuu ili gharamia kitu gani huko? Wewe ni ha.wara wao nini?
 
Matako ya mama yako,kama hujui Kazi za wizara husika acha kuropoka,,vitengo vya maafa kipo ofisi ya Waziri mkuu, masuala ya Mazingira yako ofisi ya Makamu wa Rais
mama yako ana masuburi ya chuma, au?
 
Wewe utakua ama hawa.ra au sh.oga wa huko, Tanzania ya sasa ina changamoto sana
 
Matako ya mama yako,kama hujui Kazi za wizara husika acha kuropoka,,vitengo vya maafa kipo ofisi ya Waziri mkuu, masuala ya Mazingira yako ofisi ya Makamu wa Rais
Magufuli aliwajibu kitu gani wahanga wa tetemo la ardhi kule Kagera? Pumbavu zako sana
 
Ingekuwa hivyo kwamba anaelipa kodi kubwa ndio apatiwe maendeleo makubwa nchi ingekuwa vipande vipande. BTW, kwani mfanyabiashara anatoa pesa mfukoni kwake au yeye ni wakala tu wa sisi tulioko huku ikungi?
 
Tujikite kwenye swali lako la pili.Je kodi inayokusanywa inatosha kulipia huduma ulizozitaja?
Je ni asilimia ngapi ya watanzania wanalipa kodi?Je kodi hizo zinakusanywa kitaalamu?
Huwezi kukusanya kodi kwa mbinu za kizamani ukafikia lengo lako.Nitoe mfano Nchi kama Sweden wameweka mfumo wa ukusanyaji kodi kwa kila raia wake wanaofanya kazi za kuajiriwa au kujiajiri kwa kufanya biashara.
Kuna kodi inaitwa momsen ambaye ni asilimia 25 ya utakachonunua.Hii inachanganywa kwenye bei.Kodi hii unaweza kuilipa kila mwezi,miezi 3,miezi 6 au mwaka kutokana na ukubwa wa biashara yako.Mfanyibiashara anaruhusiwa kuitumia hiyo momsen aliyokusanya kwa kununua vitendea kazi vyake mradi apeleke risiti kuthibitisha manunuzi hayo.
Skatteverket (TRA) wanafanya makadikirio ya kodi na mwisho wa mwaka ikiwa makadirio yao yamezidi unarudishiwa kiasi kilichozidi.Ikiwa yamepungua kwa mujibu wa makadirio unapewa muda mpaka Novemba 15 mwaka unaofuata kulipa.Ikipita tarehe hiyo unatozwa penalty na riba.Ukijenga una include kwenye matumizi yako.Ukiwa unafanya kazi na kutumia usafiri wa gari lako unarudishiwa kiasi fulani cha gharama yako.Sharti ni kwamba unatumia usafiri wako sehemu ambaye ni mbali mfano kilomita 100 kutoka unapoishi.
Wenzetu wamepiga hatua kwa kujaribu kutatua changamoto zao.Kulipa kodi ni wajibu kwa walio wengi kwani wanaona faida yake.
Mifumo yao hakuna haja ya kudai risiti labda uhiitaji kwa warranty ya kifaa ulichonunua.
 
Kodi zetu zinaliwa na hawa vilaza wezi wa kura

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, afadhali kama Mtanzania angekuwa na mzigo wa kodi peke yake pengine hata tungeweza kufanya tathmini, sasa hilo zigo la madeni ya nje na ndani ndiyo balaa lingine.
 
Inakurejea kwa kujengewa barabara za lami, malipo kwa wafanyakazi wa serikali na mambo mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…