Kodi ikatwe kutumia line za simu ili wengi tulipe

Kila mtu anapenda kulipa Kodi kwa ajili ya maendeleo ya nchi yake,
Kinachoumiza ni Kodi kuliwa na ka genge flani wanaoitwa mafisadi na hawaguswi!
Ila naunga mkoni hoja Kodi itakayo patikana waagize zile ford za marekani gari ngumu sana zile!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…