Kodi ikatwe kutumia line za simu ili wengi tulipe

Kodi ikatwe kutumia line za simu ili wengi tulipe

FveG9aFWcAMA1gG

Kama line hizi zote zikikatwa 10% ya matumizi
1. kila mtu atakuwa amepewa haki yake ya kulipa kodi
2. mapato ya serikali yataongezeka kwa gharama ndogo
Wewe Nape tuache basi hizo tozo mlizoweka hazitoshi!!
 
Hata mkikata kodi hamtoleta mabadiliko yoyote

Haya anzeni kukata kodi

Ova
 
90% ya watanzania wanapenda kulipa kodi shida kodi zinaingia mifukoni mwa washenzi wachache waliojivika umungu mtu..
ndio hapo watanzania tunapojionea tabu.

Nakuapia laiti nchi ingekuwa na uwazi, mikataba inajadiliwa bungeni, wezi wanachukuliwa hatua, mapato yanaenda sawa na matumiz kwa uwazi, maendeleo yanaonekana nakuapia hata bajeti yetu watu tungekubali kuchangia..
Ila si kwa nchi hii iliyojaa ufedhuli.

Wanatukamuaa wee, wao wanye MAVI, sie tunye POVU.
Duh 🙄. !
 
Hapana mkuu mie nimesukumwa na hizo takwimu tu kwamba kuna line za simu 58.1 M zinazotumika ni kaoona fursa kwa nchi kuweza kupata mapato ili waweze kutuhudumia vizuri
Wakiacha kuyatumia mavieite itakuwa poa sana !! Tufanye kama Hakainde H. !
 
FveG9aFWcAMA1gG

Kama line hizi zote zikikatwa 10% ya matumizi
1. kila mtu atakuwa amepewa haki yake ya kulipa kodi
2. mapato ya serikali yataongezeka kwa gharama ndogo
Akisikia Mwigulu tumekwisha, ila vyema ukafafanua , kwamba mfanyabiashara hatalipa tena kodi bali atalipa kupitia 10% ya sim au atalipa vyote kwa pamoja, ?
 
Kiongozi with all due respect,naomba kusema wew hauna akili!Nnaponunua simu Serikali inafungu,nikinunua vocha Serikali inafungu,nikiRenew line serikali inafungu,nikitumia huduma za kifedha kwenye laini hyohyo Serikali inafungu,nikichaji simu(umeme) Serikali inafungu!!!Sasa wew unataka fungu gani tena!?
 
Mkuu naona mwanzo mwisho unachuki kwa serikali
Chuki ya aina gani!!? Pia naichukia vipi serikali kutokana na mada yako!!? Yani unakua na wazo ambalo unataka tuluewe bila kutuelewesha na mbali na hivyo pia huna hoja yoyote nyingine ya msingi kulinga na mada yako
 
Kiongozi with all due respect,naomba kusema wew hauna akili!Nnaponunua simu Serikali inafungu,nikinunua vocha Serikali inafungu,nikiRenew line serikali inafungu,nikitumia huduma za kifedha kwenye laini hyohyo Serikali inafungu,nikichaji simu(umeme) Serikali inafungu!!!Sasa wew unataka fungu gani tena!?
Kodi
 
Ukiona Lugha na matusi ya wadau kuhusu hilo wazo la mtoa mada yalivyo mengi, inaonesha Serikali inakazi ya kufanya kuwaonesha Watanzania ni Jinsi gani Kodi zao zilivyotumika kwenye kuwaleta Maendeleo.

Kwasasa pamoja na Kodi kuwa nyingi zinazokusanywa na TRA pamoja na Vyombo vingine lakini mianya iliyopo ya Ufujaji wa kodi hizo ni Mkubwa, Serikali imekuwa ikitumia Kodi zetu Vibaya kwa matumizi ya Anasa.

Kuna Wilaya Moja ina deal na Uchimbaji, yaani Pamoja na kuchangia pato kubwa Serikalini lakini Kunzia Mkoani hadi Kuifikia ni Rough Road tupu.

Kwa mfano huu na mingine, inaonesha Wananchi hawaoni miradi/Faida za Kodi
 
Kwa upigaji huu ,halafu wapigaji wanaambiwa hawatazikwa nazo na wanaendelea kula kuzitumia ,Una roho mbaya sana weye inawezekana nawewe ni mmoja wao.
 
Back
Top Bottom