Kodi ikatwe kutumia line za simu ili wengi tulipe

Kodi ikatwe kutumia line za simu ili wengi tulipe

Ukipata nafasi ya kukwepa Kodi Tanzania nakushauri kwepa Kodi nchi umekaa wevi na wanyang'anyi wanao lindwa na mitutu ya bunduki
Ewaaa hio ndio tafsiri fupi ya hili taifa. Wezi wamejipa madaraka na ulinzi ilihali wananchi wanaishi kwenye dimbwi la ufukara.
 
Halafu mkitukata hiyo kodi mnaenda kununulia yale magari yenu ya kifahari ya V8 VXR! Halafu baadaye mnayapindua wakati mnatoka kufanya starehe zenu na watoto wa chuo siyo!!

Mnakata tozo kwenye miamala ya simu! Mnakata tozo kwenye mafuta ya petrol na dizeli! Mnakata elfu 1-5000 kila mwezi kwenye mita za LUKU! Mnakata VAT kwenye bidhaa! Mnakata kodi kwenye biashara mbalimbali za wafanyabiashara!

Bado tu hamtosheki!! Nyinyi ni zaidi ya nguruwe!
Ukiuliza hio report ya hizo Tozo ambazo ni against utaratibu wa kodi zikowapo. Ni hela za wananchi ambazo ziko nje ya mfumo wa kodi tunataka tujue ni kiasi gani kinakusanywa kila mwezi hutasikia likiongelewa hilo ila kinacholindwa ni wizi wa mabwana wakubwa.
 
FveG9aFWcAMA1gG

Kama line hizi zote zikikatwa 10% ya matumizi
1. kila mtu atakuwa amepewa haki yake ya kulipa kodi
2. mapato ya serikali yataongezeka kwa gharama ndogo
Kwani watumiaji wa simu halipi kodi zinazotokana na matumizi ya hizo laini, au ndo kutaka kuleta kodi nyingine yenye jina jipya ?
 
10% ya nini wazo la kiwizi hili, mwigulu ana akili fupi sana hachelewi kukubali
 
Natamani sana kulipia Kodi lakini zangu walau afu tatutatu kila mwezi,Kodi zinatusaidia sana kwenye miundombinu nk
 
FveG9aFWcAMA1gG

Kama line hizi zote zikikatwa 10% ya matumizi
1. kila mtu atakuwa amepewa haki yake ya kulipa kodi
2. mapato ya serikali yataongezeka kwa gharama ndogo

Kwamba hujui kuwa vouchers, bundles na transactions hukwatwa kodi?
 
Ukiuliza hio report ya hizo Tozo ambazo ni against utaratibu wa kodi zikowapo. Ni hela za wananchi ambazo ziko nje ya mfumo wa kodi tunataka tujue ni kiasi gani kinakusanywa kila mwezi hutasikia likiongelewa hilo ila kinacholindwa ni wizi wa mabwana wakubwa.
Tozo zilipitishwa bungeni na kuwekwa kwenye sheria ya fedha ya 2021/2022 kutuaambia hapa kuwa ziko nje ya utaratibu wa kodi ni UJINGA
 
Tatizo kwako liko wapi kwa mfano maana unauliza kana kwamba unao uhuru wa aman kulipa au kutolipa kodi
Kulingana na suggestion zako ndio nimekua na maswali hayo kwako! Ni swala la kutolea ufumbuzi hayo maswali ukiwa kama ndio mwenye wazo kuu
 
Kulingana na suggestion zako ndio nimekua na maswali hayo kwako! Ni swala la kutolea ufumbuzi hayo maswali ukiwa kama ndio mwenye wazo kuu
Mkuu naona mwanzo mwisho unachuki kwa serikali
 
Nikajua Unakumbushia Jambo Lako
Hapana mkuu mie nimesukumwa na hizo takwimu tu kwamba kuna line za simu 58.1 M zinazotumika ni kaoona fursa kwa nchi kuweza kupata mapato ili waweze kutuhudumia vizuri
 
FveG9aFWcAMA1gG

Kama line hizi zote zikikatwa 10% ya matumizi
1. kila mtu atakuwa amepewa haki yake ya kulipa kodi
2. mapato ya serikali yataongezeka kwa gharama ndogo
Hapo Mimi ndipo nachoka kabisa .
Utamaduni unaotamalaki ni kuchungulia matumizi ya watu na kuweka Kodi.
Huo sijui niiteje hata maana ya Kodi inapoteza maana yake hicho niseme ndiyo kijicho.
Itafikia wananchi mauzo ya nyama yakipanda wapo watashauri iwekeze tozo huo ni wivu.
Kama biashara ya laini imepanda si mumutoze muizaji Kwa nini atozwe mlaji.
Kodi maana yake kulipia ulicho ingiza au kutumia huduma au mapato yoyote .
Tujifunze kuchochea mauzo huko kwenye mauzo huduma mapato ndipo kuna kodi
 
Yaani ulipie Kodi alafu watoto wakasoneshwe Feza...
Mwingine atumie gari na mafuta kwenda kusaka jigi jigi!
Mimi kati ya vitu nikipata mwanya wa kukwepa Cha kwanza ni Kodi
 
Hapana mkuu mie nimesukumwa na hizo takwimu tu kwamba kuna line za simu 58.1 M zinazotumika ni kaoona fursa kwa nchi kuweza kupata mapato ili waweze kutuhudumia vizuri
Kuna kaugonjwa kana kunyemelea. Si bure
 
Back
Top Bottom