Kodi ikatwe kutumia line za simu ili wengi tulipe

Kodi ikatwe kutumia line za simu ili wengi tulipe

Halafu mkitukata hiyo kodi mnaenda kununulia yale magari yenu ya kifahari ya V8 VXR! Halafu baadaye mnayapindua wakati mnatoka kufanya starehe zenu na watoto wa chuo siyo!!

Mnakata tozo kwenye miamala ya simu! Mnakata tozo kwenye mafuta ya petrol na dizeli! Mnakata elfu 1-5000 kila mwezi kwenye mita za LUKU! Mnakata VAT kwenye bidhaa! Mnakata kodi kwenye biashara mbalimbali za wafanyabiashara!

Bado tu hamtosheki!! Nyinyi ni zaidi ya nguruwe!
 
FveG9aFWcAMA1gG

Kama line hizi zote zikikatwa 10% ya matumizi
1. kila mtu atakuwa amepewa haki yake ya kulipa kodi
2. mapato ya serikali yataongezeka kwa gharama ndogo
Huu ni sawa na uchawi kabisa,yaani hizi tozo mnazokata hamjatosheka.
 
90% ya watanzania wanapenda kulipa kodi shida kodi zinaingia mifukoni mwa washenzi wachache waliojivika umungu mtu..
ndio hapo watanzania tunapojionea tabu.

Nakuapia laiti nchi ingekuwa na uwazi, mikataba inajadiliwa bungeni, wezi wanachukuliwa hatua, mapato yanaenda sawa na matumiz kwa uwazi, maendeleo yanaonekana nakuapia hata bajeti yetu watu tungekubali kuchangia..
Ila si kwa nchi hii iliyojaa ufedhuli.

Wanatukamuaa wee, wao wanye MAVI, sie tunye POVU.
 
Mbona watapoteza wateja kuliko kupata.
Wao wabane kwenye nyumba na viwanja
 
Kila ukinunua vocha kuna asilimia ya kodi inayoenda serikalini! Nafikiri hiyo ndio kodi unayoizungumzia hapa
 
FveG9aFWcAMA1gG

Kama line hizi zote zikikatwa 10% ya matumizi
1. kila mtu atakuwa amepewa haki yake ya kulipa kodi
2. mapato ya serikali yataongezeka kwa gharama ndogo
Tozosl na kodi tunalipa kila tufanyapo miamala
 
Hii stratergy ni nzuri sana, tena sana. Na nchi itapata makusanyo ya kodi kubwa tu. Sema sasa wakifanya hivi, inabidi kodi zingine zote zifutwe kama PAYE, na kodi za wafanyabiashara wa ndani, ndio itakuwa fair.
 
Na kwa wasiotumia simu watakatwa wapi hiyo kodi!

Wewe mwenyewe una line ngapi za simu!? Utakatwa kodi ngapi!!?
Tatizo kwako liko wapi kwa mfano maana unauliza kana kwamba unao uhuru wa aman kulipa au kutolipa kodi
 
Hii stratergy ni nzuri sana, tena sana. Na nchi itapata makusanyo ya kodi kubwa tu. Sema sasa wakifanya hivi, inabidi kodi zingine zote zifutwe kama PAYE, na kodi za wafanyabiashara wa ndani, ndio itakuwa fair.
sawa nakubaliana na wewe. Kodi zibaki kwenye vyanzo vya bidhaa yaani viwandani na mipakani bidhaa inapoingilia
 
Back
Top Bottom