Huu ni sawa na uchawi kabisa,yaani hizi tozo mnazokata hamjatosheka.
Kama line hizi zote zikikatwa 10% ya matumizi
1. kila mtu atakuwa amepewa haki yake ya kulipa kodi
2. mapato ya serikali yataongezeka kwa gharama ndogo
Na unaeza kuta wewe ni kigogo mla pesa za umma.
Kama line hizi zote zikikatwa 10% ya matumizi
1. kila mtu atakuwa amepewa haki yake ya kulipa kodi
2. mapato ya serikali yataongezeka kwa gharama ndogo
Akili huna wewe kabisa .Kodi ya mapato
Tozosl na kodi tunalipa kila tufanyapo miamala
Kama line hizi zote zikikatwa 10% ya matumizi
1. kila mtu atakuwa amepewa haki yake ya kulipa kodi
2. mapato ya serikali yataongezeka kwa gharama ndogo
Mkumbumbushe tunalipa kodi na tozo kila muamalaAkili huna wewe kabisa .
Mtu mshahara wake ushakatwa Kodi halafu akiweka kwenye simu ukatwe tena kabisa Kodi ingine??
UMELAANIWA
Kama line hizi zote zikikatwa 10% ya matumizi
1. kila mtu atakuwa amepewa haki yake ya kulipa kodi
2. mapato ya serikali yataongezeka kwa gharama ndogo
SawaMkuu wa kutoa bila kujali utapata nini na kutenda wema kisha unaenda zako
sawa nakubaliana na wewe. Kodi zibaki kwenye vyanzo vya bidhaa yaani viwandani na mipakani bidhaa inapoingiliaHii stratergy ni nzuri sana, tena sana. Na nchi itapata makusanyo ya kodi kubwa tu. Sema sasa wakifanya hivi, inabidi kodi zingine zote zifutwe kama PAYE, na kodi za wafanyabiashara wa ndani, ndio itakuwa fair.