Ewaaa hio ndio tafsiri fupi ya hili taifa. Wezi wamejipa madaraka na ulinzi ilihali wananchi wanaishi kwenye dimbwi la ufukara.Ukipata nafasi ya kukwepa Kodi Tanzania nakushauri kwepa Kodi nchi umekaa wevi na wanyang'anyi wanao lindwa na mitutu ya bunduki
Ukiuliza hio report ya hizo Tozo ambazo ni against utaratibu wa kodi zikowapo. Ni hela za wananchi ambazo ziko nje ya mfumo wa kodi tunataka tujue ni kiasi gani kinakusanywa kila mwezi hutasikia likiongelewa hilo ila kinacholindwa ni wizi wa mabwana wakubwa.Halafu mkitukata hiyo kodi mnaenda kununulia yale magari yenu ya kifahari ya V8 VXR! Halafu baadaye mnayapindua wakati mnatoka kufanya starehe zenu na watoto wa chuo siyo!!
Mnakata tozo kwenye miamala ya simu! Mnakata tozo kwenye mafuta ya petrol na dizeli! Mnakata elfu 1-5000 kila mwezi kwenye mita za LUKU! Mnakata VAT kwenye bidhaa! Mnakata kodi kwenye biashara mbalimbali za wafanyabiashara!
Bado tu hamtosheki!! Nyinyi ni zaidi ya nguruwe!
Dogo mpumbavu sanaSawa
Kwani watumiaji wa simu halipi kodi zinazotokana na matumizi ya hizo laini, au ndo kutaka kuleta kodi nyingine yenye jina jipya ?
Kama line hizi zote zikikatwa 10% ya matumizi
1. kila mtu atakuwa amepewa haki yake ya kulipa kodi
2. mapato ya serikali yataongezeka kwa gharama ndogo
Alafu wakayatimbie na mwishoweIli wanunue mav8 zaidi.
Kama line hizi zote zikikatwa 10% ya matumizi
1. kila mtu atakuwa amepewa haki yake ya kulipa kodi
2. mapato ya serikali yataongezeka kwa gharama ndogo
Tozo zilipitishwa bungeni na kuwekwa kwenye sheria ya fedha ya 2021/2022 kutuaambia hapa kuwa ziko nje ya utaratibu wa kodi ni UJINGAUkiuliza hio report ya hizo Tozo ambazo ni against utaratibu wa kodi zikowapo. Ni hela za wananchi ambazo ziko nje ya mfumo wa kodi tunataka tujue ni kiasi gani kinakusanywa kila mwezi hutasikia likiongelewa hilo ila kinacholindwa ni wizi wa mabwana wakubwa.
Wewe Ndiyo Zungu AmaSijawaza mkuu nimefikiria
Nikajua Unakumbushia Jambo LakoHapana mimi siyo Zungu
Kulingana na suggestion zako ndio nimekua na maswali hayo kwako! Ni swala la kutolea ufumbuzi hayo maswali ukiwa kama ndio mwenye wazo kuuTatizo kwako liko wapi kwa mfano maana unauliza kana kwamba unao uhuru wa aman kulipa au kutolipa kodi
Hapo Mimi ndipo nachoka kabisa .
Kama line hizi zote zikikatwa 10% ya matumizi
1. kila mtu atakuwa amepewa haki yake ya kulipa kodi
2. mapato ya serikali yataongezeka kwa gharama ndogo
Kuna kaugonjwa kana kunyemelea. Si bureHapana mkuu mie nimesukumwa na hizo takwimu tu kwamba kuna line za simu 58.1 M zinazotumika ni kaoona fursa kwa nchi kuweza kupata mapato ili waweze kutuhudumia vizuri