Wewe Nape tuache basi hizo tozo mlizoweka hazitoshi!!
Kama line hizi zote zikikatwa 10% ya matumizi
1. kila mtu atakuwa amepewa haki yake ya kulipa kodi
2. mapato ya serikali yataongezeka kwa gharama ndogo
Kwanza Tusubiri ripoti ya CAG ijadiliwe kisha ifanyiwe kazi halafu tuanze kukatwa kodi kupitia laini zetu za simu itapendeza sana !!Umeweza nini hadi kutoa mawazo ya kiwaki namna hii
Duh 🙄. !90% ya watanzania wanapenda kulipa kodi shida kodi zinaingia mifukoni mwa washenzi wachache waliojivika umungu mtu..
ndio hapo watanzania tunapojionea tabu.
Nakuapia laiti nchi ingekuwa na uwazi, mikataba inajadiliwa bungeni, wezi wanachukuliwa hatua, mapato yanaenda sawa na matumiz kwa uwazi, maendeleo yanaonekana nakuapia hata bajeti yetu watu tungekubali kuchangia..
Ila si kwa nchi hii iliyojaa ufedhuli.
Wanatukamuaa wee, wao wanye MAVI, sie tunye POVU.
Wakiacha kuyatumia mavieite itakuwa poa sana !! Tufanye kama Hakainde H. !Hapana mkuu mie nimesukumwa na hizo takwimu tu kwamba kuna line za simu 58.1 M zinazotumika ni kaoona fursa kwa nchi kuweza kupata mapato ili waweze kutuhudumia vizuri
Akisikia Mwigulu tumekwisha, ila vyema ukafafanua , kwamba mfanyabiashara hatalipa tena kodi bali atalipa kupitia 10% ya sim au atalipa vyote kwa pamoja, ?
Kama line hizi zote zikikatwa 10% ya matumizi
1. kila mtu atakuwa amepewa haki yake ya kulipa kodi
2. mapato ya serikali yataongezeka kwa gharama ndogo
Akina naibu waziri DugangeIli wakuda waendelee kufaidika
Uwezo wako wa kufikiria ni ZIRO!Sijawaza mkuu nimefikiria
Chuki ya aina gani!!? Pia naichukia vipi serikali kutokana na mada yako!!? Yani unakua na wazo ambalo unataka tuluewe bila kutuelewesha na mbali na hivyo pia huna hoja yoyote nyingine ya msingi kulinga na mada yakoMkuu naona mwanzo mwisho unachuki kwa serikali
Hii kodi ya uzalendo tayari ipo inaitwa tozoKodi ya uzalendo
KodiKiongozi with all due respect,naomba kusema wew hauna akili!Nnaponunua simu Serikali inafungu,nikinunua vocha Serikali inafungu,nikiRenew line serikali inafungu,nikitumia huduma za kifedha kwenye laini hyohyo Serikali inafungu,nikichaji simu(umeme) Serikali inafungu!!!Sasa wew unataka fungu gani tena!?
Naunga mkono hojaKmmk
Mbona tayari wote wenye line za simu hulipa kodi tena kubwa tu kupitia miamala ya simu!!Umeweza nini hadi kutoa mawazo ya kiwaki namna hii
Kwa hiyo tunaolipa PAYE tulipe mara mbili?PAYE halipi kila mtu