Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,920
- 8,675
Sisiemu hao ndio wanawaita Think TANKWanaofanya decisions on our behalf simply ni useless...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisiemu hao ndio wanawaita Think TANKWanaofanya decisions on our behalf simply ni useless...
Binadamu wa Siku hizi wabishi sana....,, wanabisha vitu ambavyo mifano wanayo majumbani mwao,,,,na hata wakitoka mtaani kwao watajiridhisha...Usiseme wa kwangu peke yangu, wakati Majority ya wazazi kibao tanzania wana watoto wenye miaka 18!, labda useme peke yako kuwa mtoto wa miaka 18 ni mtu mzima mwenzio
hana anacho kijua... ndg watanzania msameheni... mambo mengi ya nchi yamempita... na kujifunza kwake ni jambo gumu kama sababu hayupo tayari kufanya hivyo... wengi wana jaribu kumpa uelewa lakini wapi masikini ya Mungu...Punguza hasira bibie, TIN unakuwa nayo ikikutambulisha kama mlipa kodi, futa kwenye kichwa chako kuwa mtu mwenye miaka 18 ni mtoto. Huyu ni mtu mzima na ndiyo maana hupiga kura. Mbona hulalamiki hapa??
mpeni msaada wa mawazo apate kuelewa... tuna lilia mengi mazuri ktk nchi yetu lakini kwa style ambayo....Serikali ndiyo mlezi mkuu, kuna hekima kubwa sana kwenye hili jambo. Kwanza, litawafanya watoto wetu kujifunza their civic duty, kulipa kodi. Pili, litaharakisha watoto wetu kujitegemea, watoto wa kisasa hawajigusi na utakuta mtu ana miaka 40 bado yuko kwa wazazi kama mtegemezi. Haya ni matumizi mabaya ya rasilirasilimali watu kwani kila raia ana wajibu wa kutoa mchango wake katika ujenzi wa taifa kwa namna yake popote alipo. Tatu, sheria zetu zinatambua miaka 18 kuwa ni age of majority hivyo basi, siyo kulipa kodi tu, wanaweza kufungwa jela au kupelekwa vitani. Mwisho, kama nchi lazima iwe na misingi ya uwajibikaji, kila mtu awajibike.
“youth” means, for the purpose of this Act, a person aged between fifteen and thirty-five years.Binadamu wa Siku hizi wabishi sana....,, wanabisha vitu ambavyo mifano wanayo majumbani mwao,,,,na hata wakitoka mtaani kwao watajiridhisha...
Kwa Tanzania Miaka 18 bado ni kijana anayeishi kwa Wazazi,,,,na kwa upande wa Mabinti hawa ndio hadi miaka 28+ wengi bado wanakuwa wapo kwa Wazazi(HAWAJITEGEMEI)....
Chukua time.hana anacho kijua... ndg watanzania msameheni... mambo mengi ya nchi yamempita... na kujifunza kwake ni jambo gumu kama sababu hayupo tayari kufanya hivyo... wengi wana jaribu kumpa uelewa lakini wapi masikini ya Mungu...
Hapana, hii itasaidia pale unatakiwa uwe na TIN ili ufanye shughuli fulani. Mfano kuomba leseni ya dereva n.k!Okay nimewaelewa, ila kumpa mtu kitambulisho cha mlipa kodi wakati halipi kodi, wastage of resources.
Inaonekana inakukera kujua Majibu halafu watu hawakuulizi kitu.....“youth” means, for the purpose of this Act, a person aged between fifteen and thirty-five years.
hiyo ya mtoto nakuachia wewe uitafute...
Kwa nn unakomaa na wanaomaliza advance wakati kuna vijana wengi wanamaliza la sana wanaingia kwenye ujasiriamali? Mtu akifikisha 18yrs anatambuliwa na sheria zote kuwa ni mtu mzima. Hakuna sheria inayomtambulisha kuwa ndiyo kwanza anaingia 18Ni mtu mzima sio? wakati ndio kwanza anamaliza Advance na bado ni tegemezi?!
Hii takwimu ya 85% umeitoa wapi?Inaonekana inakukera kujua Majibu halafu watu hawakuulizi kitu.....
Wewe ulichoeleza hapo hakina uhusiano na nilichoandika mimi.,
Mimi na Rebeca 83 hoja yetu ni asilimia 85% ya vijana wa kitanzania wenye umri wa miaka 18,,,hawawezi Kujitegemea,,, means hawaingizi kipato chochote.....
Na huu ni uhalisia na sio nadharia...
Lipi hapo umeshindwa kuelewa sasa..??..
Kwa nn unakomaa na wanaomaliza advance wakati kuna vijana wengi wanamaliza la sana wanaingia kwenye ujasiriamali? Mtu akifikisha 18yrs anatambuliwa na sheria zote kuwa ni mtu mzima. Hakuna sheria inayomtambulisha kuwa ndiyo kwanza anaingia 18
wanaotumia mashine za efd kuna sehemu inabidi wajaze TIN ya mnunuzi iili ionekane kodi imelipwa na nani. Kodi ya VAT tunalipa kila siku tunapofanya manunuzi lakini risiti haioneshi kama ni wewe ndo umelipa. Nchi za watu huko risiti ya manunuzi inamtambulisha mnunuzi kama mlipa kodi.Okay nimewaelewa, ila kumpa mtu kitambulisho cha mlipa kodi wakati halipi kodi, wastage of resources.
Mama siwezi kubishana na wewe unauliza maswali ya kitoto, kushindwa au kuweza haizuii wengine kuweza au kushindwa. Tatizo watu mkisikia kodi mnawaka mnafikiri ni mamilioni, hata sh 2,000 ni kodi kulingana na kipatoWangapi? Wewe ulivyokuwa na Miaka 18 ulikuwa unalipa kodi?
...Sheria iliwekwa na 'Alliens' kwamba sisi Binadamu hatuwezi kuibadilisha, au...?TlN Ni utambulisho tu wa mlipa Kodi siyo shulutisho la kulipa Kodi nikama NIDA tu inakutambuliaha tu, ndivyo wanafanya duniani huko mf.india,us,uk etc,tax is legal compursory payment, lazima tulipe ipo kisheria
Tanzania,,, unaifahamu nyingine tofauti na hiyo..???Hii takwimu ya 85% umeitoa wapi?
urudi na nani? Ikiwa kwenu watoto hawaendi shule. kaeni na ujinga wenu.Turudi kwenye takwimu tuone vijana umri huo ni wangapi Tanzania,ili tuamini kweli wote wapo sekondari
Leseni ya udereva hutolewa under "NON BUSINESS" seal. Ikiwa namaana TIN kwaajili ya leseni ama biashara zinatofautianaHata leseni ya udereva inataka uwe na TIN number,kua nayo haimaanishi unabiashara
Wanaomaliza o level tz ni laki tano.(kwa nchi nzima)..tukifanya kila darasa o level Lina wanafunzi laki tano,maana yake tuna vijana 2m tu o level,je ni kweli tz nzima Ina vijana 2m wenye umri wa miaka 18 ikiwa kweli unadai kila mwenye 18 yupo shule!?..au tusitumie takwimu,tudhani Dhabi tu!?urudi na nani? Ikiwa kwenu watoto hawaendi shule. kaeni na ujinga wenu.