SULEIMAN ABEID
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 390
- 385
Ninachofurahia sasa ni kwamba sasa kila mtu asikie uchungu wa kulipa kodi. Baada ya Kariakoo kufilisikaMakato mapya ya Miamala ya fedha katika Simu yanatisha, vipi Muamala mmoja ukatwe kodi mara mbili? Tuanze pia kuonesha UZALENDO kwenye kukata KODI ya Uzalendo kwenye marupurupu yote wanayolipwa wabunge wetu ambayo kwa sasa hawakatwi chochote! Mfikishieni ujumbe huu Waziri Mwigulu malipo yapo juu sana. Uzalendo huoneshwa kwa mtu kujitoa yeye mwenyewe bila kulazimishwa.
mwigulu unasikia hichi kilio cha wanyonge?Makato mapya ya Miamala ya fedha katika Simu yanatisha, vipi Muamala mmoja ukatwe kodi mara mbili? Tuanze pia kuonesha UZALENDO kwenye kukata KODI ya Uzalendo kwenye marupurupu yote wanayolipwa wabunge wetu ambayo kwa sasa hawakatwi chochote! Mfikishieni ujumbe huu Waziri Mwigulu malipo yapo juu sana. Uzalendo huoneshwa kwa mtu kujitoa yeye mwenyewe bila kulazimishwa.
Kujenga nchi? wakati wenzetu wakila nchi kuna sababu gani wabunge wasilipe chochote kwenye mapato yao makubwa huku siye tusio na kitu tunalipishwa kodi mara mbilimbli kama siyo uharamia nini?Acha tujenge nchi bwana.[emoji23][emoji23]
Ona huyu kima wa CCMMama anaupiga mwingi
Na bado!Ona huyu kima wa CCM
Mama aendelee kuupiga mwingi...Makato mapya ya Miamala ya fedha katika Simu yanatisha, vipi Muamala mmoja ukatwe kodi mara mbili?
Tuanze pia kuonesha UZALENDO kwenye kukata KODI ya Uzalendo kwenye marupurupu yote wanayolipwa wabunge wetu ambayo kwa sasa hawakatwi chochote
Mfikishieni ujumbe huu Waziri Mwigulu malipo yapo juu sana. Uzalendo huoneshwa kwa mtu kujitoa yeye mwenyewe bila kulazimishwa.