Kodi mbili kwenye muamala mmoja! Tuseme hapana

Kodi mbili kwenye muamala mmoja! Tuseme hapana

Jamani serikali haipendi kuwafanyieni hivi ila hakuna namna maana mwendazake alikufa na baadhi ya passwords za akiba ya taifa

Wote si mnajua namna kifo kilivyomvaa ghafla,hakupata hata nafasi ya kuwambia wanawe mayanga construction sio ya Kitwanga ni mali yao
Hahahahahhah dah umenichekesha sana man! Kwahio password ya hazina kafa nayo JPM sasa shughuli za miradi zitaendaje
 
Usijaribu ata kuwaza hilo wazo utalia jinsi watanzania wasivyo waaminifu kweli mil 1unampatia boda aifikishe boda atakupiga atahama na mkoa wa kufanyia kaz
Sasa Boda mwenye familia ahame kisa million moja? Labda muwape wale wanaopiga ngoma za mejja kunta na minyoo ya ajabu ajabu
 
Makato mapya ya Miamala ya fedha katika Simu yanatisha, vipi Muamala mmoja ukatwe kodi mara mbili?

Tuanze pia kuonesha UZALENDO kwenye kukata KODI ya Uzalendo kwenye marupurupu yote wanayolipwa wabunge wetu ambayo kwa sasa hawakatwi chochote

Mfikishieni ujumbe huu Waziri Mwigulu malipo yapo juu sana. Uzalendo huoneshwa kwa mtu kujitoa yeye mwenyewe bila kulazimishwa.
kwakweli na wabunge wote wakatwe kodi za mishahara na marupurupu yao, sijui huko bungeni wanawawakilisha kina nani.

Ubinafsi wao ndo tatizo. Wamekwenda bungeni kuwakilisha watoto wao, wake zao na matumbo yao na sio kuwakilisha wananchi.
 
Mama anaupiga mwingi
🤏

157397961_239953457639319_7348684300285464590_n.jpg
 
Back
Top Bottom