lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,479
Kwenye bodaboda nako wameongeza 100 kwenye Lita 1 ya mafutaSerikali inataka kuwafanya Wananchi muache uvivu....Wewe kama unatuma pesa ndani ya eneo hilohilo kwa nini utumie mtandao?.
Tumieni fursa muanzishe huduma fasta za bodaboda...milioni moja inakimbizwa kwa Muhusika unalipa elfu moja, au mbili, au tatu hata tano kuliko kupoteza elfu ishirini.