Kwenye bodaboda nako wameongeza 100 kwenye Lita 1 ya mafutaSerikali inataka kuwafanya Wananchi muache uvivu....Wewe kama unatuma pesa ndani ya eneo hilohilo kwa nini utumie mtandao?.
Tumieni fursa muanzishe huduma fasta za bodaboda...milioni moja inakimbizwa kwa Muhusika unalipa elfu moja, au mbili, au tatu hata tano kuliko kupoteza elfu ishirini.
Usijaribu ata kuwaza hilo wazo utalia jinsi watanzania wasivyo waaminifu kweli mil 1unampatia boda aifikishe boda atakupiga atahama na mkoa wa kufanyia kazSerikali inataka kuwafanya Wananchi muache uvivu....Wewe kama unatuma pesa ndani ya eneo hilohilo kwa nini utumie mtandao?.
Tumieni fursa muanzishe huduma fasta za bodaboda...milioni moja inakimbizwa kwa Muhusika unalipa elfu moja, au mbili, au tatu hata tano kuliko kupoteza elfu ishirini.
Acha matusi wewe... mama anaupiga mwingiHuyu Mama ni Bomu.
Kuna kampuni linafanya hiyo Kazi....Na niliwasikia kabla hata ya hizi kodiUsijaribu ata kuwaza hilo wazo utalia jinsi watanzania wasivyo waaminifu kweli mil 1unampatia boda aifikishe boda atakupiga atahama na mkoa wa kufanyia kaz
Yaani ilipaswa wao waonyeshe Mfano wako wabunge 200 na kitu wawe wanakatwa kodi ya uzalendo kwenye sitting allowance na mengineoKujenga nchi? wakati wenzetu wakila nchi kuna sababu gani wabunge wasilipe chochote kwenye mapato yao makubwa huku siye tusio na kitu tunalipishwa kodi mara mbilimbli kama siyo uharamia nini?
Nimesema kuwe na utaratibu, sijamaanisha kuokota tu Bodaboda yeyote.Usijaribu ata kuwaza hilo wazo utalia jinsi watanzania wasivyo waaminifu kweli mil 1unampatia boda aifikishe boda atakupiga atahama na mkoa wa kufanyia kaz
Sasa naona huyu Jamaa anaingia woga wa bure tu.Kuna kampuni linafanya hiyo Kazi....Na niliwasikia kabla hata ya hizi kodi
Kabisa mkuu.. na wabunge wakatwe kodi aiseeMakato mapya ya Miamala ya fedha katika Simu yanatisha, vipi Muamala mmoja ukatwe kodi mara mbili?
Tuanze pia kuonesha UZALENDO kwenye kukata KODI ya Uzalendo kwenye marupurupu yote wanayolipwa wabunge wetu ambayo kwa sasa hawakatwi chochote
Mfikishieni ujumbe huu Waziri Mwigulu malipo yapo juu sana. Uzalendo huoneshwa kwa mtu kujitoa yeye mwenyewe bila kulazimishwa.
Exactly, Watu waache uvivu.Safari zitaongezeka, laki makato yake ni zaidi ya 9,500 kutuma na kutolea hapo nauli ya kuifuata ukute haizidi elfu 5 aisee naifuata
Ndio akili za Watanzania...ukiwashirikisha jambo la kumuangusha Mwenzao muitikio ni mkubwa, kumbe inachagizwa tu na roho mbaya.Mnaacha kusaini petition za kupinga ishu kama hizi mnasaini za diamond atoke BET ndo matokeo yake haya.
Hivi Wana CCM nao wanakatwa haya malipo?Mtu ana makampuni ya mabus kwa siku anaingiza mamilioni hicho kilio ni kelele kwake.
Mbunge mshahara wake hukatwi kodi na wala hachangii chochote kwny mifuko ya hifadhi ya jamii lakini muda wake ukiishi analipwa kinua mgongo hiyo pesa inatoka wapi???? Ndo maana hawana uchungu na hizi tozo za ajabuMakato mapya ya Miamala ya fedha katika Simu yanatisha, vipi Muamala mmoja ukatwe kodi mara mbili?
Tuanze pia kuonesha UZALENDO kwenye kukata KODI ya Uzalendo kwenye marupurupu yote wanayolipwa wabunge wetu ambayo kwa sasa hawakatwi chochote
Mfikishieni ujumbe huu Waziri Mwigulu malipo yapo juu sana. Uzalendo huoneshwa kwa mtu kujitoa yeye mwenyewe bila kulazimishwa.
Na bado!
Si mlikuwa mnademka nae hapa kwamba anaupiga mwingi? Hata miezi miwili haijapita tayari mmemgeuka?
Wewe acha kumsingizia Magufuli mjinga wewe, Magufuli toxic ndo kitu gani? Serkali isikilize kilio cha wananchi na ijue kuwa sekta ya fedha imeajiri vijana wengi kama mawakala wa fedha so ikishupaza shingo itaongeza tatizo la ajira ikiwa ni pamoja na kupunguza mzunguko wa fedha.Mama awe makini na hawa watendaji wake kina mwigulu wameamua kumuharibia kwa wananchi Ili achukue, kumbuka mwigulu anautamani uraisi,njia pekee ya kumuharibia mama ni kama hivi Ili achukuwe na wananchi.Hakuna nchi yeyeto duniani yenye tozo kama hizi.
Tulimwambia hawa jiwe toxin awamkubali watamhurabia.
Anashindwa vipi kusuka watu wake,hili kundi litamuharibia shauri yake
View attachment 1854419
Ccm upenda vijana wengi wawe masikini, ukiwa masikini at the end ni lzm utakuwa mjinga ukiwa mjinga utachagua ccmWewe acha kumsingizia Magufuli mjinga wewe, Magufuli toxic ndo kitu gani? Serkali isikilize kilio cha wananchi na ijue kuwa sekta ya fedha imeajiri vijana wengi kama mawakala wa fedha so ikishupaza shingo itaongeza tatizo la ajira ikiwa ni pamoja na kupunguza mzunguko wa fedha.