Kodi mbili kwenye muamala mmoja! Tuseme hapana

Hahahahahhah dah umenichekesha sana man! Kwahio password ya hazina kafa nayo JPM sasa shughuli za miradi zitaendaje
 
Usijaribu ata kuwaza hilo wazo utalia jinsi watanzania wasivyo waaminifu kweli mil 1unampatia boda aifikishe boda atakupiga atahama na mkoa wa kufanyia kaz
Sasa Boda mwenye familia ahame kisa million moja? Labda muwape wale wanaopiga ngoma za mejja kunta na minyoo ya ajabu ajabu
 
kwakweli na wabunge wote wakatwe kodi za mishahara na marupurupu yao, sijui huko bungeni wanawawakilisha kina nani.

Ubinafsi wao ndo tatizo. Wamekwenda bungeni kuwakilisha watoto wao, wake zao na matumbo yao na sio kuwakilisha wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…