Kodi mpya za miamala: Mahakama iweke zuio la haraka

Kodi mpya za miamala: Mahakama iweke zuio la haraka

Kwani mapato kwa makampuni yameanza kushuka?

Yule CEO wa Voda ametangaza kung’atuka , kwa sababu kani?!
 
Mwigulu inatakiwa afukuzwe kazi ,amefeli sana!

Wafanyabiashara wa Xpesa wanasema kamisheni imepungua sana means watu wamepungua waliokuwa wanafanya miamala....Kuna mmoja alikuwa anapata commision hadi laki 6 ila kwasasa ana laki na ushee.
Waziri mzigo
 
Back
Top Bottom