Mkwaha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2012
- 1,688
- 3,182
Wewe kama nani hadi uwasemee watanzania wote?. Hata kipindi cha ukoloni kuna wapuuzi kama wewe ambao walikua wakiitikia kila kitu ambacho mkoloni alikua anakileta bila kutofautisha faida na hasara ya jambo husika. Eti watanzania hawana tatizo na makato kwani wewe ndie muwakilishi wao?. Kama watanzania hawana shida na makato iweje nchi mzima mada kuu iliyopo ni malalamiko ya makato haya au wewe huko uliko unaishi polini?. Mbona watanzania wanalipa kodi nyingi sana kila siku hivi hujiulizi iweje makato haya yanapigiwa kelele?.watanzania hawana tatizo na makato ila tunacho kitaka ni fedha hizi zisichezewe, isitokee watu kuzidokoa.
serikali iwe makini tu kwenye malengo.
watanzania tuko tayari na tunaendelea kutoa kodi.
kamwe serikali isipumbazwe na kelele za wapinga maendeleo ambao wana dhamiri ya kusumbua awamu hii ya 6.
serikali iwe imara isikubali kuyumba wala kuyumbishwa.
wabunge wetu ambao ndio wawakilishi wetu bungeni wamejadili na kuona umuhimu na faida tutakayo ipata kutokana na kodi hizi.
mjenge nchi ni mwananchi maenyewe.
tusikilize maneneo wanasiasa wasaka tonge
Jitahidi hata kidogo kuficha upumbavu wako mbele za watu.