Kodi mpya za miamala: Mahakama iweke zuio la haraka

Kodi mpya za miamala: Mahakama iweke zuio la haraka

Siingilii uhuru wa mahakama ,ila naiamuru mahakama itoa amri mwigulu akamatwe na afungwe jiwe kubwa la kusagia akutupwe baharini anaupiga mwingi kwenye miamala yetu yakuungaunga.

Ni matumizi mabaya ya jiwe la kusagia, afungwe kwenye kiroba kisha atupwe ufukweni tu.
 
watanzania hawana tatizo na makato ila tunacho kitaka ni fedha hizi zisichezewe, isitokee watu kuzidokoa.
serikali iwe makini tu kwenye malengo.
watanzania tuko tayari na tunaendelea kutoa kodi.
kamwe serikali isipumbazwe na kelele za wapinga maendeleo ambao wana dhamiri ya kusumbua awamu hii ya 6.
serikali iwe imara isikubali kuyumba wala kuyumbishwa.

wabunge wetu ambao ndio wawakilishi wetu bungeni wamejadili na kuona umuhimu na faida tutakayo ipata kutokana na kodi hizi.
mjenge nchi ni mwananchi maenyewe.
tusikilize maneneo wanasiasa wasaka tonge
 
'
JamiiForums2095554980.jpg
 
Nikiacha kutumia miamala nitumie makalio yako!?

Hujui tunaishi mjini kwa biashara za MPESA? Zikifa?

Umekaa tu kwa ku relax unasubiri kuuza papuchi!! weweee!!! Ungekuwa karibu ningekutandika mpaka!
Nichangieni nikafungue kesi.

Kesi haziendeshwi BURE.
 
Kwahio msingi wa kesi unakuwa ni kitu gani hapo meko!?

Kesi ya nyani hakimu ngedere 😂😂😂😅😅😅😂
Eti kesi,unamfungulia wapi?
Unayemfungulia na anayesikiliza hujui kama wanakinga yakutoshitakiwa?
 
hapo tayari umesha changia mwanao au mtoto wa ndugu yako akapate elimu bora, pia umesaidia ndugu yako popote alipo apate huduma bora hospitalini.
usijutie makato hayo, utafurahia huduma za afya, elimu na barabara.
mjenga nchi ni mwananchi, tujenge nchi yetu.
Wapuuzi mko wengi sana poleni
 
hii sasa ndio kampeni mpya ya chadema baada ya kuona katiba mpya imekuwa ndoto za mchana.
ila chadema inazidi kujichafua zaidi kisiasa kwa kuhamasisha mambo ambayo ni kinyume na uzalendo, hakuna anaye shawishika na uhuni huu .
 
watanzania hawana tatizo na makato ila tunacho kitaka ni fedha hizi zisichezewe, isitokee watu kuzidokoa.
serikali iwe makini tu kwenye malengo.
watanzania tuko tayari na tunaendelea kutoa kodi.
kamwe serikali isipumbazwe na kelele za wapinga maendeleo ambao wana dhamiri ya kusumbua awamu hii ya 6.
serikali iwe imara isikubali kuyumba wala kuyumbishwa.

wabunge wetu ambao ndio wawakilishi wetu bungeni wamejadili na kuona umuhimu na faida tutakayo ipata kutokana na kodi hizi.
mjenge nchi ni mwananchi maenyewe.
tusikilize maneneo wanasiasa wasaka tonge.
Inaonyesha hatuna bunge wala wabunge haya ndo madhara ya ushindi wa kishindo 2020 hakuna wa kuchanganua bajeti wao ni rubber stamp ya kupitisha kila kinacholetwa ila nina uhakika siku ukiletwa mswada wa kupinguza posho za wabunge hapo ndo watasema hapana
 
Kafungue kesi mjomba. Mimi tayari nalipa kodi ya uzalendo ikajenge barabara kijijini kwetu malinyi niuze mpunga wangu kwa uarahisi.
Kodi unazotozwa zinapelekwa wapi miaka yote hiyo mpaka uje uongezewe ya uzalendo?

Una akili timamu kweli? Kwanini iwe lazima? Si wangeweka iwe kwa hiari ili uchangie vizuri
 
watanzania hawana tatizo na makato ila tunacho kitaka ni fedha hizi zisichezewe, isitokee watu kuzidokoa.
serikali iwe makini tu kwenye malengo.
watanzania tuko tayari na tunaendelea kutoa kodi.
kamwe serikali isipumbazwe na kelele za wapinga maendeleo ambao wana dhamiri ya kusumbua awamu hii ya 6.
serikali iwe imara isikubali kuyumba wala kuyumbishwa.

wabunge wetu ambao ndio wawakilishi wetu bungeni wamejadili na kuona umuhimu na faida tutakayo ipata kutokana na kodi hizi.
mjenge nchi ni mwananchi maenyewe.
tusikilize maneneo wanasiasa wasaka tonge.
Mbunge gani kachaguliwa na wananchi hapo.Kuna kodi za kuchochea maendeleo na kuna kodi za kuchochea umasikini.
Wanaotunga sera wao ni kula kulala KILA kitu bure bila makato ni ngumu kufeel.
 
kodi hii imepitishwa na BUNGE letu tukufu, wabunge walio chaguliwa kihalali ambao wamewakilisha mawazo ya watanzania wote kwa manufaa ya watanzania wote, kodi hii lazima tuilipe, wapuuzi wachache wasitusumbue wala wasituharibie malengo yetu kama hawataki waende wakaishi ubeligiji.
 
Ukishakuwa na watu 'washamba', tegemea mambo ya 'kishamba'
 
Back
Top Bottom