The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Kodi ya ndani sio yako ni ya mzalishaji ,tunataka Kodi ya bidhaa yako wewe..Hapo wangalau, japo kwenye mazingira makubwa unakuta kodi iko ndani tayari.
Mkuu ile kodi yako sio ya mzalishaji VAT ni Indirect tax na ni consumption tax ambayo consumer ndie anayebeba tax burden mzalishaji yeye anakuwa kama agent katika kukusanya na ku remitt tax kwa tax authority.Kodi ya ndani sio yako ni ya mzalishaji ,tunataka Kodi ya bidhaa yako wewe..
Kila siku mnauziana mali kinyemela huwa mnalipa Kodi?
Mumepangisha nyumba huwa mnalipa Kodi?
Na mifano mingi kama hiyo kama mafundi,madalali, madereva Bajaj nk wanaingiza vipato huwa wanalipa Kodi ya mapato?
acha uongo, Mama anaupiga mwingi. Chezea Mwigulu wewe - urais anautaka piatuliambiwa tutakula hata nyasi lakini ndege ya rais tutanunua tuu (hii ni sawa), sasa tutatoa kodi ya kichwa kufanikisha safari za rais kwenda kusalimia ndugu zake huko ughaibuni
Kwa hiyo mzalishaji wa bidhaa akitozwa Kodi kwenye malighafi huwa ni yako?Mkuu ile kodi yako sio ya mzalishaji VAT ni Indirect tax na ni consumption tax ambayo consumer ndie anayebeba tax burden mzalishaji yeye anakuwa kama agent katika kukusanya na ku remitt tax kwa tax authority.
Kwa hiyo mzalishaji wa bidhaa akitozwa Kodi kwenye malighafi huwa ni yako?
Wewe utapata Kodi baada ya Value addition ndio hiyo VAT..
Hivi unafanya biashara hata moja ambayo unatumia EFD?Unachanganya mambo Mkuu, unapozungumzia VAT mlipaji ni consumer sio manufacturers. Pia manufacturers huruhusiwa ku claim input tax ambayo huja kuwa netted vs output tax ili kujua VAT payable.
Na pia kodi sio VAT tuu kuna Income tax pia kwa upande mwingine kule huwa kuna kitu kinaitwa Cost of Good Sold (COGSO) hapo manufacturers wameruhusiwa kudeduct expenses zao kwa kuzingatia Section 11 of Income tax Act CAP 332 RE 2019.
Mwisho kila mtu anayenunua bidhaa ni vyema akadai resiti.
hahahahiyo age wengi wanakula kwa mama na baba zao, hatamu hapo...
yaani dada wa kazi na yeye mnampatia TIN number ?
wacha inyeshee !!!
PoaKilopozi
KabsiaKodi ya Kisimbuzi, Kodi ya Kichwa, Kodi ya Sijui Nini
Serikali Hata Chembe ya Aibu Haina