The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Kodi ya ndani sio yako ni ya mzalishaji ,tunataka Kodi ya bidhaa yako wewe..Hapo wangalau, japo kwenye mazingira makubwa unakuta kodi iko ndani tayari.
Kila siku mnauziana mali kinyemela huwa mnalipa Kodi?
Mumepangisha nyumba huwa mnalipa Kodi?
Na mifano mingi kama hiyo kama mafundi,madalali, madereva Bajaj nk wanaingiza vipato huwa wanalipa Kodi ya mapato?