Kodi vyumba viwili guest kuepuka kuibiwa pesa zako na demu uliyemnunua kulala nae!

Hii mbinu imekaa kitaalam saan
Kitaalamu sana, garama zote za nini, kama ni hivyo kwanini fedha usiziweke m-pesa airtel man, tigo pesa ukabaki na hela unayokusudia kuitumia tu, kuliko ulipie chumba, cha 25,000 mara 2 alafu kimoja utunzie fedha tu, na ulale usingizi wa mang'amu ng'amu kwa sababu pesa ziko chumba cha pili.
Yote kwa yote mmesisitizwa hpo juu, uzinzi ni dhambi.
 
Acha kuvuta ugoro
 
ndio kwangu mimi ni dhambi, na ninakazia kuwa ni dhambi hata kwako, pamoja na kujifanya una shingo ngumu na kusambaza ukimamasisha dhambi. Mungu anakuona.acha kiburi, Mungu hapendi.
Kama unataka kujua pita kwenye dustbins za vyumba vya lodge yako asubuhi uone kama hukutani na condoms.
 
Kama unataka kujua pita kwenye dustbins za vyumba vya lodge yako asubuhi uone kama hukutani na condoms.
kufanya wanafanya ila kwa upande wangu nimeshanawa mikono. hata vitanda wanachafua kwa mavi lakini kwa upande wangu nishanawa mikono. ninachozuia ni kutosapoti dhambi na pia wajue dhambi ili siku ya mwisho damu yao isidaiwe mikononi mwangu. ni hilo tu.
 
Warumi 6:23
 
Uko sahihi kabisa mkuu.
 
Hahha we jamaa Malaya sana,hizi mbinu na za levo za juu sana. Mjanja yoyote anakubali kuliwa kidogo mwanzoni Ili kutengeneza uaminifu.
 
Unaendaje na mamilioni kutomba demu wa elfu 15?
 
Kutumia gharama tu,unachotakiwa kuhakikisha ufunguo unakaa nawewe ikibidi wakati wakulala uweke mdomoni!... Utaepuka vingi
🀣🀣🀣🀣🀣 kidgo tofar riniangukie kichwan
 
Hahha we jamaa Malaya sana,hizi mbinu na za levo za juu sana. Mjanja yoyote anakubali kuliwa kidogo mwanzoni Ili kutengeneza uaminifu.
Huyo tutakua mapacha. Maana ndio mbinu zangu
 
Moshi na Arusha warembo wao siyo wezi hawamuibii mteja.

Isitoshe hotel zao reception mwanamke haruhusiwi kutoka mpaka upigiwe simu utowe ruksa.

Huu utaratibu umesaidia kufanya mikoa hiyo hakuna wizi wa kuwasachi wanaume.

Halafu Arusha unaweza usiamini demu ana kazi yake rasmi na anakuuzia uchi kesho anaamkia job, hii nayo inafanya ukanda huo hakuna mademu wezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…