modavid
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 705
- 628
Ni ya kishamba mnoDuuh mbona kama ya kishamba[emoji849][emoji849]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ya kishamba mnoDuuh mbona kama ya kishamba[emoji849][emoji849]
Acha kuvuta ugoro
Sisapoti kuchana godoro ili uhifadhi pesa,, kila mteja akiwa anachana godoro mnatupa gharama sisi wamiliki wa lodge kununua magodoro mara kwa maraUnahangaika saaana. Simple method.
1. Ukiingia nae ndani, sogeza kitanda mpaka kifike mlangoni.
2. Kwakua umeshamnunua, hana tena jeuri ya kupanga chochote so akifika tu, mwambie akaoge, akienda kuoga nyanyua kitanda weka ufunguo kwenye mguu wa kitanda.
3. Mwanaume huez tembea (tena usiku) bila silaha. Hakikisha haukosi pocket knife. Hyo utachana godoro kwa pembeni, unaeka hela zako huko unarudishia shuka.
4. Umeamua kulala na malaya, usilale kama uko kwa babaako, lala kwa machale yaliyozidi.
5. Ukiona nyege zako zmeisha, mtoe nje asepe zake, sio mkeo huyo wa kushikamana mpka kukuche maana wengi wanaibiwa kwenye kale ka usingizi ka asubuhi.
NAKAZIA!
sihalalishi uzinzi, lakn ni vyema na haki kuwa makini usije achwa uchi sokoni.
Mkuu, mpaka kwenda kununua na kulala na malaya tayar n kujitoa mhanga tosha.Sisapoti kuchana godoro ili uhifadhi pesa,, kila mteja akiwa anachana godoro mnatupa gharama sisi wamiliki wa lodge kununua magodoro mara kwa mara
Unasema aweke hela kwny godoro,,, hv unaweza kuweka milion 5 au 6 kwny godoro?? Mana jamaa anaonekana katoka kuuza ngombe zake pale pugu mnadani
Unasema atembee na kisu,, huon kuwa hii n hatar sana endapo akikutana na malaya mwenye kujitoa mhanga?
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hiyo wewe unatembeaga na lundo la hela???Chumba kimoja weka pesa na vitu vyako vingine huku mhudumu ukimwambia kuwa jamaa yako arakayekitumia yuko njiani na atafika muda wowote. Vifiche vizuri lakini, shauri yako.
Chumba cha pili ndo ulale na huyo uliyemnunua huku mfukoni ukiwa na pesa yake TU basi! Ziada mfukoni humo labda mipira tu. Lakini ili asikustukie ongeza na mswaki na dawa ya meno.
My friend, itakugharimu malipo ya bure ya chumba kimoja zaidi (pengine 20k) lakini itakuepushia risk ya kupoteza malaki na mamilioni. Ukiibiwa kwa mbinu hii, njoo na risiti nikurudishie pesa yako.
No comment 😂😂Mkuu, mpaka kwenda kununua na kulala na malaya tayar n kujitoa mhanga tosha.
Au niulize swali la kizushi, wewe ushawahi kununua malaya??
Unapatikana wapi mkuu unirudishie hela zangu, milioni moja yangu niliyoificha chumba cha mshikaji pamoja na masanduku yangu yameibiwa, nafikiri na hawa wahudumu wa hii Guest.Chumba kimoja weka pesa na vitu vyako vingine huku mhudumu ukimwambia kuwa jamaa yako arakayekitumia yuko njiani na atafika muda wowote. Vifiche vizuri lakini, shauri yako.
Chumba cha pili ndo ulale na huyo uliyemnunua huku mfukoni ukiwa na pesa yake TU basi! Ziada mfukoni humo labda mipira tu. Lakini ili asikustukie ongeza na mswaki na dawa ya meno.
My friend, itakugharimu malipo ya bure ya chumba kimoja zaidi (pengine 20k) lakini itakuepushia risk ya kupoteza malaki na mamilioni. Ukiibiwa kwa mbinu hii, njoo na risiti nikurudishie pesa yako.