Kodi vyumba viwili guest kuepuka kuibiwa pesa zako na demu uliyemnunua kulala nae!

Uwe na mamilioni halafu ulale gesti za 20k? Uwe na mamilioni halafu utake kulala na malaya usiku mzima? Bank account huna? Kwa akili hizi bado itachukua muda sana umaskini kupungua nchini. Utakuta mleta uzi ni mkulima aliyepigika miezi kadhaa shambani halafu baada ya kufika mjini na kuuza mazao yake ndo akili zake zinavyomtuma afenye upuuzi. Ndugu zangu papuchi tuwe tunatafuna kwa akili sana la sivyo ni kitu kinachochangia umaskini kwa namna nyingi.
 
Kuepukana na gharama za namna hiyo Ni vizuri kutafuta mwanamke mzuri umuoe na utulie kwake.

Uzinzi Ni dhambi.
 
Pesa yako bado uishi kitumwa
 
Unatumia formula yangu mm nikinunua demu simtreat kama Malaya Mara nyingi tunakuwa marafiki kwa muda mfupi
 
Badala ya kulipia chumba cha pili, pesa weka bank, laptops na simu kabidhi counter upewe risiti, cheni na pete weka chini ya godoro kabla hujaingiza bidhaa toka sokoni
 
Ukienda na chochote sehemu walipo dadapoa jua umekubali kukipoteza..
 
Unahangaika saaana. Simple method.
1. Ukiingia nae ndani, sogeza kitanda mpaka kifike mlangoni.
2. Kwakua umeshamnunua, hana tena jeuri ya kupanga chochote so akifika tu, mwambie akaoge, akienda kuoga nyanyua kitanda weka ufunguo kwenye mguu wa kitanda.
3. Mwanaume huez tembea (tena usiku) bila silaha. Hakikisha haukosi pocket knife. Hyo utachana godoro kwa pembeni, unaeka hela zako huko unarudishia shuka.
4. Umeamua kulala na malaya, usilale kama uko kwa babaako, lala kwa machale yaliyozidi.
5. Ukiona nyege zako zmeisha, mtoe nje asepe zake, sio mkeo huyo wa kushikamana mpka kukuche maana wengi wanaibiwa kwenye kale ka usingizi ka asubuhi.

NAKAZIA!
sihalalishi uzinzi, lakn ni vyema na haki kuwa makini usije achwa uchi sokoni.
 
Wanaume wa Dar bana [emoji28]

Hivi unawezaje kumaliza kwa video call tu?[emoji23][emoji23]
NI sawa kula ugari kwa picha ya samaki, video Call kwa ni punyeto kama punyeto zingine, sasa Dunia ya leo punyeto ya nini.
 


Unanunuaje mwanamke ulale naye usiyemjua?
 
Achanane na hayo mamabo, fanyeni mambo mengine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…