Kodi vyumba viwili guest kuepuka kuibiwa pesa zako na demu uliyemnunua kulala nae!

Acha kuvuta ugoro
Sisapoti kuchana godoro ili uhifadhi pesa,, kila mteja akiwa anachana godoro mnatupa gharama sisi wamiliki wa lodge kununua magodoro mara kwa mara

Unasema aweke hela kwny godoro,,, hv unaweza kuweka milion 5 au 6 kwny godoro?? Mana jamaa anaonekana katoka kuuza ngombe zake pale pugu mnadani

Unasema atembee na kisu,, huon kuwa hii n hatar sana endapo akikutana na malaya mwenye kujitoa mhanga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, mpaka kwenda kununua na kulala na malaya tayar n kujitoa mhanga tosha.
Au niulize swali la kizushi, wewe ushawahi kununua malaya??
 
Risk sana kusafiri na Fedha nyingi. Weka E-money, safe zaidi.
 
kwa hiyo wewe unatembeaga na lundo la hela???
 
Unapatikana wapi mkuu unirudishie hela zangu, milioni moja yangu niliyoificha chumba cha mshikaji pamoja na masanduku yangu yameibiwa, nafikiri na hawa wahudumu wa hii Guest.
 
Uzinzi ni starehe ya watu wajinga
Mm nikiwa na hela Kuanzia 10k huwa sihitaji kusikia sauti Wala kuona sura ya Mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…