Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Selikali hawajafikiria vya kutoshaKwa nini uweke mita kila chumba wakati kuna sub meters ambazo zenyewe zinasoma kutoka kwenye mita kuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Selikali hawajafikiria vya kutoshaKwa nini uweke mita kila chumba wakati kuna sub meters ambazo zenyewe zinasoma kutoka kwenye mita kuu?
Wenzako wanagugumia, wewe ndiyo unashangilia?😁Bora waanze nilikuwa nasikitika kila siku mbona wanachelewa, kodi ni muhimu jamani
Watu wanaokaa kwa shemeji zao utawajua tu!We nawe na huyo dikteta wako jiwe huchoki kupiga porojo.
Kwa wale wanaojua utaratibu wa kuandaa bajeti,wanaelewa kabisa kwamba bajeti hii iliandaliwa wakati wa jiwe. Kwa hiyo,kama angekuwepo,kwa kuwa wewe ulikuwa chawa wake,usingekuja hapa na hizi porojo zako.
Lipeni kodi kwa maendeleo ya nchi. Period.
Umiliki wa jengo uko wa aina mbili wa muda mfupi na muda mrefuNdio linalopigiwa kelele, hilo la mpangaji kulipa kodi ya mwenye nyumba.
Alafu walivyokuwa wapuuzi, eti kesho tu imaanza[emoji1787]
Shenzi Kaa kimya!!!!!!Kama Mwanaume nikichangia 12000 Kwa mwaka ili serikali ilete maendelo sioni tatizo ,tuache kulia lia Kama watoto, 12000 ni kitu gani
Hongera serikali hakika mtapata hela nyingi sanaSerikali itaanza kukusanya kodi ya majengo kwa kupitia ununuzi wa umeme kuanzia Agosti 20, 2021. Kila mnunuzi atakatwa TZS 1,000 kwa mwezi kwa nyumba ya kawaida na TZS 5,000 kwa mwezi kwa kila sakafu ya ghorofa.
Kwa wanaotumia mita za ankara watalipa katika ankara za mwezi.
View attachment 1897774
Alisema yeye ni mtaalamu wa kusoma graph za uchumi sio kama mtangulizi wake aliyekuwa anajua kukagua mifuko ya cement iliyojengea barabara🤣🤣🤣🤣Mbaya zaidi wameongeza hiyo Kodi kutoka 10k Hadi 12k
Huyu bibi hakuna anachojua
Ndugu hakuna mtu halipi Kodi nchi hii. Labda km hanunui bidhaa au huduma. Na huyo mtu hayupo.Nyinyi kila kitu ni kupinga tu!
Halafu ukute hulipagi kodi hata kidogo....unachojua ni kupinga tu!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alisema yeye ni mtaalamu wa kusoma graph za uchumi sio kama mtangulizi wake aliyekuwa anajua kukagua mifuko ya cement iliyojengea barabara[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa sisi wapangaji tunaolipia luku za wenye nyumba inakuaje...Serikali itaanza kukusanya kodi ya majengo kwa kupitia ununuzi wa umeme kuanzia Agosti 20, 2021. Kila mnunuzi atakatwa TZS 1,000 kwa mwezi kwa nyumba ya kawaida na TZS 5,000 kwa mwezi kwa kila sakafu ya ghorofa.
Kwa wanaotumia mita za ankara watalipa katika ankara za mwezi.
View attachment 1897774
Bado Kuna vyanzo vingi vya kukusanya Kodi isiyoumiza moja kwa moja...Huu ni ubunifu mzuri ambao utaongeza wingo wa ukusanyaji mapato. ufanyiwe marekebisho tu kwenye hayo mapungufu yaliyo jitokeza. Watanzania wengi wanapolipa kodi angalau mzingo wa kodi kwa mfano wafanyakazi utapungua. Panapo stahili kupongeza sisi wengine tutapongeza.
Bado kodi utailipa tuRudini kwenye umeme mbadala tuachane na TANESCO yenye Luku
Kwa hiyo umeitumia nafsi yako na kuwakilisha wanaume wote ? Kwamba kila mwanaume wa nchi hii 12000 si kitu.Kama Mwanaume nikichangia 12000 Kwa mwaka ili serikali ilete maendelo sioni tatizo ,tuache kulia lia Kama watoto, 12000 ni kitu gani
Huku kwetu najilinji hizo mita hazipo,mita hizi za kawaida tu inachukua miezi sita kuunganishiwa hizo submeter si ndo itachukua miaka miwiliKwa nini uweke mita kila chumba wakati kuna sub meters ambazo zenyewe zinasoma kutoka kwenye mita kuu?
Lipeni tu hiyo kodi ya jengo kufidiwa uchafuzi wa majengo yale. Mtu bila aibu anatoboa ukuta na limsumariSasa sisi wapangaji tunaolipia luku za wenye nyumba inakuaje...