Kodi ya majengo kuanza kukatwa kwenye Luku kuanzia Agosti 20, 2021. Je, Serikali imekosa Dira, mbinu zimewaishia?

Kodi ya majengo kuanza kukatwa kwenye Luku kuanzia Agosti 20, 2021. Je, Serikali imekosa Dira, mbinu zimewaishia?

Safi

Naomba kuuliza maswali machache.

Ni sababu ipi hasa ya msingi iliyopelekea kutoka mfumo wa malipo wa zamani kuleta mfumo wa sasa?

Kwa hiyo kwanzia agost 20 kodi ya jengo inalipwa na mpangaji?

Vipi kuhusu nyumba ambazo kila chumba kina mita yake?

Vipi kususu mpangaji mmoja ambaye kapanga nyumba mbili?

vipi nikiwa nikiamua miezi miwili ipite sijanunua luku?

CCM imekosa mbinu za kuendesha hii nchi.
Safi Sana nimefurahi mbovu ya kichwa hawaleti, mmh mbona Kodi ya ndevu hawaleti,. Mmmh Kodi ya barabara wailete ,. Mmhh mashamba jeee,, 😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆
 
Kwakweli inshu sio 12k au hata 50k tatizo he itaenda kubadilisha Nini?

Kama kweli n jengo so watu halali wa kukusanya hyo pesa kupitia halmashauri na wapo kwanini wasiongezewe ujuzi wa
kukusanya zaidi.

Yan hii n Kama Deni la mtoto na familia yake anaenda kulazimishwa Baba akalipe sababu tuu baba anauwezo wa kulipa.

Najipanga kabla ya kesho haijaanza nataka kununua umeme hata wa 200k ilimradi tuu nisichangie hyo Kodi pia hii iwe hamasa namimi niwe najilipia Kodi Yan kupitia luku ya tanesco
 
Naomba kuuliza maswali machache.

Ni sababu ipi hasa ya msingi iliyopelekea kutoka mfumo wa malipo wa zamani kuleta mfumo wa sasa?

Kwa hiyo kwanzia agost 20 kodi ya jengo inalipwa na mpangaji?

Vipi kuhusu nyumba ambazo kila chumba kina mita yake?

Vipi kususu mpangaji mmoja ambaye kapanga nyumba mbili?

Vipi nikiwa nikiamua miezi miwili ipite sijanunua luku?

CCM imekosa mbinu za kuendesha hii nchi.
Acha wakate tu, safari nje na za ndege zimezidi, wanaishi kifalme na kimalkia kwa kutumia migongo yetu, kura 2025 tutaelewana tu..
 
Magufuli alijitahidi kupunguza utitiri wa kodi ila huyu mama yeye anaongeza utitiri wa kodi
 
Tunaotumia mita zaidi ya moja kwenye nyumba moja hyo 1,000/= tunaigawana vipi?

Vipi kwa mwaka nikinunua umeme Mara 4 tuu hyo 8,000/= wataipata wapi?

Kodi n uhalali wa kukabidhi kiasi Cha pesa kwa serikali baada ya kunufaika kibiashara kutokana na huduma unayotoa sasa inajulikana kuwa kwenye miji mikubwa nyumba nyingi watu wamepanga na Tanesco wameruhusu nyumba moja kuwa na mita ya kupokea umeme zaidi ya moja Jambo la msingi Ni Nani anawajibika kulipa Kodi ya jengo kwa serikali kati ya mpangaji na mwenye nyumba?

Kama mpangaji analipa pesa serikali kwa kulazimishwa kulipa Kodi ambayo yeye hastaili hii inatofauti gani na unyang'anyi?

Huku tunapoelekea tunafundisha mbinu mpya za kukwepa Kodi sahihi za serikali.

NAPENDEKEZA
Kama taifa tuna vitu vingi vya asili ambavyo vinaweza kutunufaisha Kama Bahari, Ziwa, Mito, Mbuga za wanyama, mlima Kilimanjaro, Gas ya mtwara.

Hivi vyote vingi tunauza nje sie tunatumia kidogo Yan tunategemea wageni watumia ilisisi au taifa la tanzania linufaike Sasa wakiweka hyo tozo huko hawatapata hyo pesa?

Pale kenya, Sudan na sehemu ya Uganda wengi hutegema kupata Chakula au kukamilisha mlo kutoka Tanzania vp tukitengeneza njia nzuri ya kukusanya pesa kupitia hili.

Taifa jema hutengeneza miundombinu ya kumuondolea mzawa Kodi pasua kichwa Bali hutengeneza mazingira kwa wageni kuwafanyia kazi wazawa mfano inshu ya Messi na Spain
 
Kama Mwanaume nikichangia 12000 Kwa mwaka ili serikali ilete maendelo sioni tatizo ,tuache kulia lia Kama watoto, 12000 ni kitu gani
Kwako hiyo sio kitu ila kuna watu wa hali ya chini hizi kodi za kipumbavu zitawaumiza sana
 
Kodi ya jengo ni elfu 10.

Sasa fikiria una jengo moja lenye vyumba 10 vya wapangaji, ukaamua kila chumba uweke mita yake ili kuepuka usumbufu kwa wapangaji. Na kila mita ikununua umeme inakatwa kodi huoni kama hilo jengo litakuwa linalipa kodi ya sh 100,000 badala ya 10,000?
Kwa wale wanao tumia frem za kupangad nao Wana tumia luku na wao wata lipa kod ya frem au ya jengo??
 
Naomba kuuliza maswali machache.

Ni sababu ipi hasa ya msingi iliyopelekea kutoka mfumo wa malipo wa zamani kuleta mfumo wa sasa?

Kwa hiyo kwanzia agost 20 kodi ya jengo inalipwa na mpangaji?

Vipi kuhusu nyumba ambazo kila chumba kina mita yake?

Vipi kususu mpangaji mmoja ambaye kapanga nyumba mbili?

Vipi nikiwa nikiamua miezi miwili ipite sijanunua luku?

CCM imekosa mbinu za kuendesha hii nchi.
KWANZA MLIKUWA MNAKWEPA KULIPA HALAFU CHA PILI AMETURAHISISHIA SANA KWENDA KUPANGA FOLENI TRA KULIPIA MAJENGO SAFI SANA SERIKALI KWA UBUNIFU
 
Upumbavu tu!

Ndio mtajua kwamba nchi hii Rais wake alifariki toka tarehe 17/03/2021

Hivi inakuwaje?

Yani ile elfu 7 tuliyokuwa tunatozwa kipindi kile kabla ya Magufuli kuiondoa ndio wameirudisha kwa njia hii?

Hivi anaetakiwa kulipa kodi ya jengo ni mpangaji au mwenye jengo?

Unapokata kodi ya jengo kwenye luku maana yake mpangaji ndio atakuwa mlipaji wa kodi ya hilo jengo maana mwenye jengo yeye anachojali ni nyumba yake alishaingiza umeme na anakusanya kodi yake ya pango basi! Habari ya kwamba umenunua luku au laa yeye haimuhusu.

Tuliambiwa mafuta yanapanda sababu kwenye soko la dunia yanepanda,! Haya huko kwenye soko la dunia saa hii mafuta ni dola 64 kwa pipa, vipi wameshusha bei hapa nchini.?

Tulia msumari uingie
 
Wapangaji kwa mfumo huu ni halali kubadilisha umiliki wa nyumba na kuwa ya kwao subirini migogoro itakavyofukuta.

Kwa namna yoyote kuna hatari ya wenye nyumba kupoteza umiliki kuna wapangaji wajanja sana ukimwumiza upande mmoja anakuumiza upande wa pili.

Tghis happen, hakuna mtu aliyekuja mjini kumnufaisha mtu mwingine hilo halipo
 
Hapo Sasa Hivi Ccm Imeweka 4WD,LOCK DIF,
Kila Mtu Ataguswa Tu Ni Suala La Muda Tu
 
Eeeh tararibu tutazungumza lugha moja na tutaelewana
 
Walianza na shilingi mia kwa kila lita ya Petrol, Diesel, Kerosene

Wakaja kwenye tozo kwenye miamala

Wakaja kwenye tozo za line za simu

Tena kodi ya majengo kupitia Luku

Bado wataingia kwenye kodi ya mashimo ya vyoo... tuwe na subira tuendelee kushuhudia maajabu
Kodi ya mashimo ya vyoo 😂😂
 
Ukikaa nchale ukisimama nchale dah too much sasa bora yule aliyekuwa anapambana kupata hela huko kwenye madini kuliko huyu kunyonga watu
 
Back
Top Bottom