Dr Mabuga 30
JF-Expert Member
- May 8, 2021
- 320
- 330
Safi
Safi Sana nimefurahi mbovu ya kichwa hawaleti, mmh mbona Kodi ya ndevu hawaleti,. Mmmh Kodi ya barabara wailete ,. Mmhh mashamba jeee,, 😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆
Naomba kuuliza maswali machache.
Ni sababu ipi hasa ya msingi iliyopelekea kutoka mfumo wa malipo wa zamani kuleta mfumo wa sasa?
Kwa hiyo kwanzia agost 20 kodi ya jengo inalipwa na mpangaji?
Vipi kuhusu nyumba ambazo kila chumba kina mita yake?
Vipi kususu mpangaji mmoja ambaye kapanga nyumba mbili?
vipi nikiwa nikiamua miezi miwili ipite sijanunua luku?
CCM imekosa mbinu za kuendesha hii nchi.