Magu ndo chanzo cha yote hayaMagufuli alijitahidi kupunguza utitiri wa kodi ila huyu mama yeye anaongeza utitiri wa kodi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magu ndo chanzo cha yote hayaMagufuli alijitahidi kupunguza utitiri wa kodi ila huyu mama yeye anaongeza utitiri wa kodi
Kama singida united ndie think tank tutegemee zaidiKwa kweli serikali imekosa vyanzo vya mapato.....
Lini tulikuwa hatulipi kodi? Kodi tunalipa miaka nenda miaka rudi, hawatupi mpango wa kuzuia ufisadi, wanatujazia makodi tu ambayo hatujui kama pesa zitafika kwenye miradi lengwa ama lah!Sio sifa Mkuu,kodi ya 12000 kwa mwaka Kwa raia anayejitambua ni kitu gani?Tulipe Kodi ili tupate haki ya kulalamika tunapoona hakuna maendelo
[emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]Tulia msumari uingie
Na hela watazipiga kweli kweliSio sifa Mkuu,kodi ya 12000 kwa mwaka Kwa raia anayejitambua ni kitu gani?Tulipe Kodi ili tupate haki ya kulalamika tunapoona hakuna maendelo
Hapo kuna kikundi cha wahuni wanaendesha nchi kihuni. Hivi mtu mwenye akili timamu unampaje gaidi mwigulu asimamie uchumi wa nchi?
Naomba kuuliza maswali machache.
Ni sababu ipi hasa ya msingi iliyopelekea kutoka mfumo wa malipo wa zamani kuleta mfumo wa sasa?
Kwa hiyo kwanzia agost 20 kodi ya jengo inalipwa na mpangaji?
Vipi kuhusu nyumba ambazo kila chumba kina mita yake?
Vipi kususu mpangaji mmoja ambaye kapanga nyumba mbili?
Vipi nikiwa nikiamua miezi miwili ipite sijanunua luku?
CCM imekosa mbinu za kuendesha hii nchi.
ni kuwaloga tu wanaokurupuka na matamshi ya kuwaumiza walala hoiNatamani nimjue aliyetoa ilo wazo
Nisaidie 5000 tu boss. Sisi masikini sh mia ikipotea tu lazima tulalamike sanaaa, sasa elf kumi alafu uongeze na mbili useme ni kitu gan!!!! Anyway money talks [emoji817]Kama Mwanaume nikichangia 12000 Kwa mwaka ili serikali ilete maendelo sioni tatizo ,tuache kulia lia Kama watoto, 12000 ni kitu gani
watasema unakaa kwa shemejiKama Mwanaume nikichangia 12000 Kwa mwaka ili serikali ilete maendelo sioni tatizo ,tuache kulia lia Kama watoto, 12000 ni kitu gani
Issue sio hela, we ndio huna akili, ama labda na ni mnufaika. Issue ni matumizi ya izo fedha. Tembea inchi nyingi utakuja kuona Tanzania ndio inchi kama sio 10 bora basi ni ya kwanza inayotumia fedha za umma ama za walipa kodi vibaya kupita mfanoKama Mwanaume nikichangia 12000 Kwa mwaka ili serikali ilete maendelo sioni tatizo ,tuache kulia lia Kama watoto, 12000 ni kitu gani
Ujinga huu utasababisha watu wengi wachezee mita za luku
Naomba kuuliza maswali machache.
Ni sababu ipi hasa ya msingi iliyopelekea kutoka mfumo wa malipo wa zamani kuleta mfumo wa sasa?
Kwa hiyo kwanzia agost 20 kodi ya jengo inalipwa na mpangaji?
Vipi kuhusu nyumba ambazo kila chumba kina mita yake?
Vipi kususu mpangaji mmoja ambaye kapanga nyumba mbili?
Vipi nikiwa nikiamua miezi miwili ipite sijanunua luku?
CCM imekosa mbinu za kuendesha hii nchi.
Umuhimu wa kununua luku kwa wakala, tunza receipt weka file maalum la receipt za lukuMimi swali langu linakuja ni baada ya hayo malipo kwa kutumia Tanesco je, risiti za malipo ya majengo tutazipata vipi?
Tatizo linaanzia pale pesa yako inapotafunwa bila habari na walafi wachache kutoka serikaliNI😔😔INAKERAAAAAKama Mwanaume nikichangia 12000 Kwa mwaka ili serikali ilete maendelo sioni tatizo ,tuache kulia lia Kama watoto, 12000 ni kitu gani
Miradi isiyokuwa na tija kama kuhamia Dodoma ndiyo inatubebesha mizigo isiyokuwa na mantiki kama hiiFungua kesi udai refund bosi.
Nyumba zisizo na umeme umeambiwa wataendelea na utaratibu wa zamani.
Wengine tuassume tu ni kama kodi ya uzalendo.
Haya maujenzi ili yaishe lazima tukamuliwe wote, hatutaki tena kukopa kwa mabeberu na kudaiwa riba...sasa tukamuane tu wote za matajiri zimeisha na wengine wamefirisika.