Kodi ya Majengo kupitia luku rasmi Vijijini

BestOfMyKind

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2012
Posts
1,350
Reaction score
1,464
Jana nilikuwa kijijini kwetu ndani ndani huko, umeme umefika pongezi kwa REA.

Sasa hapa kwa bibi yangu huwa wananunua umeme wa 2000 kila unapokwisha. Walikuwa wanafanya hivyo kabla na baada ya tozo ila jana imeshindikana.

Ikabidi mimi niongezee niwape elfu 10, ile kulipia tu wakakatwa deni la elfu 4.
 
Hivi inakuwaje kwa nyumba ambazo hazina umeme na baadaye au miaka 6 mbele ndipo wana unganishwa kwa umeme?.
 
Hilo wala halina shida, kwani hiyo mita mpya inapowekwa tu, ndipo inaingizwa kwenye mfumo , na ndipo inasubilia atakaye inunulia umeme tu ndio inaanzia hapo hapo,
 
Jana nilikuwa kijijini kwetu ndani ndani huko, umeme umefika pongezi kwa REA.

Sasa hapa kwa bibi yangu huwa wananunua umeme wa 2000 kila unapokwisha. Walikuwa wanafanya hivyo kabla na baada ya tozo ila jana imeshindikana.

Ikabidi mimi niongezee niwape elfu 10, ile kulipia tu wakakatwa deni la elfu 4.
TANESCO ni kweli hii system imeanza kama ni kweli je, mlitoa taarifa kama hapana je, lini mumeanza utaratibu mpya pasipo taarifa?

Nipo nasubiri majibu nawasikilizia counter
 
Ipo wazi mpaka sasa nyumba zote zenye umeme wanakata kodi ya jengo bila kujali ni mjini au kijijini pia nyumba ya tofali au ya nyasi ....hawa jamaa wanataka hela sana bila kujali utu.
Zipo nyumba ukinunu umeme wa 5,000 unatumia hata miezi 4 sasa hapo ukija kununua tena unakutana na deni.
Bado tozo hii inaongeza mzigo kwa wananchi.
 
Mkuu ninavyojua makazi ya vijijini hayako kwenye utaratibu rasmi wa kulipa kodi ya jengo kwa sababu ni makazi duni ambayo yapo kwenye maeneo ambayo hayajarasimishwa, hii ndo failure kubwa kwa hii serikali ya chifu hangaya ku maximize makusanyo bila kujali taratibu na sheria wala kujali hali za maisha na vipato vya watu. Hayati mwalimu Nyerere aliwahi kusema na hapa namnukuu 'Serikali corrupt haikusanyi kodi, inawaogopa matajiri ambao kimsingi ndo wanatakiwa kulipa kodi na inabaki kufukuzana na maskini' haya maneno ya Nyerere yanaishi leo hii kwa sababu matajiri na wakoloni wanaoitwa wawekezaji wanapata faida kubwa na kujitwalia rasilimali bwerere huku wanyonge wakitaabishwa kwa kodi na tozo zinazobuniwa kwao kila kukicha...........rasilimali zetu, gesi, madini, mbuga, bandari zinamnufaisha nani hadi tuwe watumwa kwenye nchi yetu wenyewe!
 
Jana nilikuwa kijijini kwetu ndani ndani huko, umeme umefika pongezi kwa REA.

Sasa hapa kwa bibi yangu huwa wananunua umeme wa 2000 kila unapokwisha. Walikuwa wanafanya hivyo kabla na baada ya tozo ila jana imeshindikana.

Ikabidi mimi niongezee niwape elfu 10, ile kulipia tu wakakatwa deni la elfu 4.
Tamu na chungu ya kila kitu

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Huku Kijijini kwetu ukinunua umeme wa buku anaongezewa wa buku mwingine,

Hamieni huku, hata kutuma pesa no tozonia.
 
Safi sana

Walipe,REA imefanya kazi

Ova
 
Mkuu ninavyojua makazi ya vijijini hayako kwenye utaratibu rasmi wa kulipa kodi ya jengo kwa sababu ni makazi duni ambayo yapo kwenye maeneo ambayo hayajarasimishwa, hii ndo failure kubwa kwa hii serikali ya chifu hangaya ku maximize makusanyo bila kujali taratibu na sheria wala kujali hali za maisha na vipato vya watu. Hayati mwalimu Nyerere aliwahi kusema na hapa namnukuu 'Serikali corrupt haikusanyi kodi, inawaogopa matajiri ambao kimsingi ndo wanatakiwa kulipa kodi na inabaki kufukuzana na maskini' haya maneno ya Nyerere yanaishi leo hii kwa sababu matajiri na wakoloni wanaoitwa wawekezaji wanapata faida kubwa na kujitwalia rasilimali bwerere huku wanyonge wakitaabishwa kwa kodi na tozo zinazobuniwa kwao kila kukicha...........rasilimali zetu, gesi, madini, mbuga, bandari zinamnufaisha nani hadi tuwe watumwa kwenye nchi yetu wenyewe!
Swali: Hii kodi ya jengo ( property tax) haiangalii thamani ya jengo?
 
Back
Top Bottom